Msichana aliye okoa maisha yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana aliye okoa maisha yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by elmagnifico, Nov 3, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Katka maisha ya mapenz nimeptia vioja ving kias kwamba kuna mambo mengne niksimulia uwa watu wanadhan ni story za ku2nga mfano kuna post nliwah post hapa baadh ya wachangiaj wakadai ni adith za paukwa pakawa.

  Leo ningependa kuwapa mkasa 1 ulionikuta. Nadhan mtakumbuka mwaka 2010 vyuo vkuu vlifunga likzo ndefu ili wanafunz wake waweze kushrik uchaguz. Sasa katka kipnd hcho cha hyo likzo ndefu uncle yangu alinpa temporary job kwenye ofis za bank flani hapa dar.

  Nikiwa katka ofisi hzo siku 1 alikuja mdada flan mrembo sana kimtazamo ni kama mwarabu mchanganyko mhnd au mzungu. Yeye alikuwa ana shda ya kubadili dollarz kwenda kwenye tshs. Sasa kwa utaratbu wa benk hyo lazma ujaze form kama una dollarz more than 5000. So mim ndiye nikawa namuelekeza jinsi ya kujaza 4m hzo mwsho alipewa ela yake na akaniomba namba ya simu kwa kuwa alidai angependa niwe namsaidia coz atakuwa anakuja yeye au anam2ma mtu often.

  Bas 2libalishana number za cm. After a wk akarud tena lakn safari hii alihtaj tsh kwenda kwa dolarz n kama kawaida nkamshugulikia akaondoka.
  Jion yake akanpgia 2kaongea akanhoj hoj maswali meng 2. Nam nikapata kujua kwamba baba yake mgermany na mamake mwarabu koko wa mombasa lakin yeye anaish dar. Cku zlivyozd kwenda ukaribu wetu ulizd sana mpaka kuna wkends nkawa natoka naye 2naenda sehem za starehe bas nikajikuta namtaka kmapenz.

  Yeye akawa anagoma kwa madai kwamba mim mdogo kwake coz inavyoonekana kanizd miaka 4. Lakin nakumbuka siku 1 aliniuliza uko tayari kuwa na mpenz mla unga? Nlibak nimeduwaa na ndpo alipo niambia ye anakula unga na hapo alipo ndpo ameanza matbabu ya kuacha unga. Lakn mwsho wa sku nlikubariana ma yote 2 ili mrad nimpate huyo mrembo.

  Bas siku myngne akaniuliza kama kuna doctor naye fahamiana naye mhmbili. Nkamjbu yupo doc flan ni family friend akaniomba nimkutanishe naye and i did that. Walichoongea ckujua and i never bothered to ask. Kuna kpnd nkawa na 4c game akawa ana niambia subiri mara hvi mara vile mim sielew. Bas siku 1 akanitamkia kuwa ana h.i.v

  Kusema kweli nlidhan mzaha ana nitania lakin kasistza na kunithbtishia hlo akangpa file lake la clinic dah. Yan kijasho kilinitoka na akaniambia hata yule doc nliyempeleka kwake alikuwa anahtaj ushauri wa afya toka kwake.

  Zlipta siku 2 stak hata pokea cm yake lakn alin2mia sms ambayo ilinfanya nijione mim mjnga. Ilisomeka hv. Una ninyanyapaa ksa nimekwambia ukweli je nisingekwambia si na wewe ungeukwaa. Mim nimetokea kukupenda kwa dhat na ndo maana sikuwa tayari kukuambukza virusi. Lakin kama umeamua kuwa hutak kabisa kuniona ts ok i wil understand. Hyo sms ndiyo ilinitia simanz na kumwona ye kama muokoz wangu kwani mim nli 4c game na ye ndiye alikuwa akikataa.

  Bas nlimpgia nkaongea naye 2kaendelea na ukaribu wetu kama kawaida lakn kirafk zaid. Sasa siku nliyo kuja kuchoka ni siku alipo niambia kaolewa ana watoto 2 mapacha wanaish m0ro mumewe ana asili ya oman na anafanya kaz dubai. Dah kweli huyu msichana alinichanganya. Na kweli nilikutanishwa na wanaye wa kike na kiume.

  Mpaka leo huyo msichana ni rafk yangu thou cku hz mtu wa kusafr safr sana lakn ni kat ya watu naowathamin coz bila huruma yake na mim ningeukwaa. Kwa mlioko fbuk mnaweza kuwa mnafaham na nawatadharisha msipende kurupukia watu mtakufa kwani kuna siku 2li xchange paswrd za fb mim na yeye kwenye inbox yake kumejaa txt za wanaume wanamtongoza.

  Picha zake alizo post fb znawa changanya wanaume wanadhan wamepata kumbe wanaweza patkana.
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ndugu mtoa mada nakuomba saaana muda wako uiedit hii ikae vizuri kwa vituo na paragraph. NI ELIMU YA UKWELI SANA.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,157
  Trophy Points: 280
  Kulaaaaleki!

  Nimeshindwa kusoma.

  Great thinker: Weka Paragraph!!!
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jamani hamuoni via mobile anashindwa kuweka paragraphy.
  Back to you mtoa mada: kuhusu huyo mdada je hukuwahi kushare naye mate, kulishana kwa kijiko k1 au hata kufanya mambo mengine yenye kuhatarisha afya yako.? Me nakushauri jaribu kwenda kupima hiv test ili kujiweka salama zaidi.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ngumu kusoma, kwani unatumia simu ya mchina??
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  dah samahan post nime post via cm ya nokia x3 kuweka paragraph ngumu coz c o smart 4n xo ingenichukua mda. Hata mate alikuwa anagoma xa nikawa najiuliza au ananionea knyaa kumbe mwenzangu ana niokoa hvo. Kupma nshapma mara 2 hata mwez 1 uliopta nimepma ila wala ckupma kwa hofu yake kwakuwa hatukuwah fanya jambo lolote la kuhatarisha
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  nimejaribu iedt na kuweka paragraph may b inaweza xomeka nw
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,346
  Trophy Points: 280
  Story nzuri ila unaandika ki'facebook zaidi.
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nimeisoma na inafundisha sana,....anyway hata mimi kuna mmoja aliwahi kuniambia ukweli kama huu,nilishangaa sana kwa mmatumbi kama mimi kuwa na moyo kama ule,....Jah bless
   
 10. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  una maanisha navyo fupisha maneno! Ni kwasabu nimeipost kwa kutumia simu najaribu kupunguza wing wa maneno
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  umenitisha sana..
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  kWanin mkuu! Lakn inahtaj uangalifu
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Huyu dada anaupendo wa kweli.
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  sana la fay, yan ni m2 ambaye namthamin xana. Angeniua kwakuwa huwez hc lolote kwa jinsi alivyo mrembo
   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Pole! Na hongera bindi shombeshombe!
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu akuepushe hili na jengine .....
   
 17. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tukipata wadada na wakaka walioathirika lakini wana upendo na uelewa kama huyu; tanzania bila ukimwi inawezekana.
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  acha fix,we kubali tu ulinyonya juice.
   
 19. C

  CHEMBUNA New Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...........Nadhan mtakumbuka mwaka 2010 vyuo vkuu vlifunga likzo ndefu ili wanafunz wake waweze kushrik uchaguz.....................
  Sasa siku nliyo kuja kuchoka ni siku alipo niambia kaolewa ana watoto 2 mapacha wanaish m0ro mumewe ana asili ya oman na anafanya kaz dubai...............
  TOKA 2010 HADI 2011 INAWEZEKANA MWANAMKE KUJIFUNGUA WATOTO WAWILI KATIKA NORMAL CIRCUMSTANCES???AU NI YAKUFIKIRIKA ZAIDI...
   
 20. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  xoma vzuri uelewe nhmekwambia kpnd chote hcho kumbe nlikuwa na date na mke wa m2 na tayri alikuwa ana hao watoto ila hakuwah niambia kama ameolewa wala ana watoto.. Na watoto wake nadhan hv sasa wana umri wa miaka 4 na ni mapcha
   
Loading...