jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au...
On your birthday, I wish you only smiles and joy
A wonderful celebration, a gathering of friends, great happiness and joy that never ends.
May your special day be filled with memories and...
Jamani wale wenzangu na mie wadadakwa wakaka tunaopanda daladala..
utakuta mtu kwenye daladala anasikiliza mziki kwenye simu yake
simu yenyewe ya kichina, nasema ya kichina cz ni simu...
salam sana.nilijaribu kufanya ka uchunguzi nikagungua wanawake wengi wenye sura za kuvutia wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwamo UKIMWI.Pia wengi wao hawajui mapenzi na ua...
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa...
Unakuta boy na gal wake wanakutana mahali,let say rum kwa mshkaji, wana do haraka haraka,thn hata hawaogi,wanaondoka hvo hvo kwenda kwenye misele yao.nimeisha shuhudia visa vya namna hi mara...
Imefahamika kuwa vitendo vya kishoga kwa our fellow brothers wa kitz wanaoishi Atlanta GA vimeshika kasi ya ajabu.Wengi wamekuwa wakifanywa vitendo hivyo kwa kutafuta urahisi wa maisha.Hii...
Wote tunavaa nguo zinazo itwa nguo za ndani, boxer, nguo ndogo, chupi ni baadhi ya maneno yanayo tumika.
Swali: Ivi nani anawajibu wa kumFulia mwenzie nguo yake ya ndani. (mke /mume/HG ?).
Mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua ID fulani, Unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka...
Habari zenu wana MMU?
Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa...
jamani mnakumbuka kuhusu yule mpenzi wangu wa humu kutokana na hali ya ujauzito nilionao
na swala la kufunga ndoa ,inabidi tupime afya zetu kiukweli naogopa sana jamani nisaidieni naona furaha...
Ni kisa cha weekend kwa kweli; jamaa yangu mmoja kaja juu dhidi ya mke wake kwa sababu mkewe ka-admit kwake kuwa ni kweli yuko attracted to a co-worker japo huyo co-coworker hajajua kabisa...
Nina rafiki yangu, yuko majuu kutafuta riziki, kaacha mke Bongo, jamaa ataka kila mara akimpigia simu mkewe, aambiwe kila kitu na mkewe, katongozwa, kachokozwa na watu na kila udaku mtaani. Mke...
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani...
wanawake,hivi huwa mnajisikia wanaume wasipowatongoza?kuna binti rafiki yangu na huwa tunashauriana mengi,amenipa malalamiko na amekuwa na majonzi katika maisha yake, kuwa ni muda sasa,yapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.