Usiteme bigiji kwa karanga za kuonja

inategemea ni bigjii gani kama ni PK ama SUPER GOLILA mi stemi hata ukiwa na karanga kisado kizima!
 
Ebo yani nimetoka na big yangu huko nilikotoka niiteme kisa nimekutana na ww hapa tu na vikaranga vyako unaonjesha hata mikono hujanawa!wala sitemi na karanga nilikila navimbiwa!
 
Unaweza ukaitoa big G mdomoni, ukaishika mkononi na baada ya kumaliza kuonja karanga ukairudisha big g mdomoni, ingawa mwanzoni ladha zinapandana, ukiendelea kuitafuna kwa muda ladha yake inarejea.. Jaribu uone kama haija weki!
 
Hapo suala la mtu nia afya ni kama somo la historia............mkono umeshika vingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom