Ushauri jf

Jpinduzi

Senior Member
Feb 26, 2011
136
68
Natanguliza heshima mbele kwanza!Wanajf naombeni ushauri juu ya mdogo wangu anayesoma chuo jirani na nchi yetu yaani Kenya.Mdogo wangu(MME) anatatizo ambalo nashindwa hata mimi kufahamu inakuwaje!yeye tatizo lake kubwa ni kutoa harufu mbaya kutoka kwenye mwili wake hivyo na kufanya wenzake wamkimbie,amejaribu kujitahidi kuzingatia sheria za usafi lakini bado hali inazidi kuwa vile vile.Sasa anashindwa afanyeje?ushauri please!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom