Wadada hata Mkinichukia Poa tu

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu leo nimeona niseme hili ambalo kwangu huwa linanikera hata kama wewe sikujui sisemi nawaonea bali nimeona niliweke wazi kuwa TABIA YA WANAWAKE KUVUTA SIGARA MIMI HUWA NACHUKIA SANA.
Ukweli ni kwamba hiyo ni starehe Binafsi lakini mimi huwa sipendi kuona mdada anavuta sigara.Wengine Mtasema mbona wanaume wanavuta lakini sikutokea kuchukia hilo.
Nawakilisha kwa kusema hata kama unavuta sigara basi tafuta sehemu ujifiche ukimaliza kuvuta endelea na mambo mengine.Asanteni
 
kiukweli mwanamke mvutaji hubadilika uzuri wake hasa 'reception' huwa wanaonekana kama wagonjwa wa ukoma vilee!
 
kwakweli nikimuona mdada anavuta sigara namchukia sn daah...
 
mmmh...sasa itakuwaje jamani....naombeni basi dawa ya kuacha......
ina maana wote mliochangia hapo juu mnanichukia eeh....
 
Wadau waacheni wadada wale starehe zao jamani.....
 
Starehe nyingine bwana
binafsi kwa mwanamke kuvuta sigara
sidhani kama kuna heshima ndani ya jamii inayokuzunguka
yaani watu watakua wanakudefine kwa namna nyingine kabisa
Hata ikiwa unapenda kwa starehe tu.
 
Sigara kwa mwanamke ni moja ya phase ambayo mtu wapitia ukiwa a wild teenager or early ages BUT mwanamke kuvuta sigara hadharani labda uwe mtu mzima saana people don't mind; my granny kwa dad was a chain smoker... na nikikumbuka sasa nobody really minded sielewi wakat wa early years... @Boss tatizo with weed ni habit inasumbua kuacha ukiendekeza, na most dadaz wanafikiri kua ukivuta weed basi uwe "tom boy" fulani hivi.... Which sio lazima.... Naona nisiende mbali hapa....lol

B2T Mdada anaevuta Sigara... Taswira anayotoa na why...

  1. Mara nyingi wanaovuta wanataka waonekane wa kisasa na kwamba wapo modern, Most humo clubs gals wanavuta (i have friends who smoke hadharani; Kenyan Gals - hivo nimewasoma vema kabisa)... Utawakuta in groups, looking sexy, careless poses na vinywaji kibao mezani... As if nothing matters and they don't give damn what a Man thinks about them (ni waongo.. they do) That is why wakipata a guy ambae ame-overcome ile obstacle na kuwatongoza wako so clingy on the guy; Who unfortunately yupo pale for FUN... Labda asiwe mswahili, for a mswahili can rarely marry such a gal.
  2. Mara nyingi huenda saana kuonekana wako so independent.... Ni the type hata wakiwa na boyfriends/lovers wanataka kuonesha they can handle everything... i.e akitoka na a guy amwambie it is OK, anaweza afford a taxi coming back home... Hata kama huko kujirusha ni Masaki na hali akaa Gongolamboto.... (wao hufikiri labda a guy ndo ataappreciate na kumuona wa maana) Of course the guy ataappreciate kua anapata a free ride lakini sio kwamba the gal is in control...
  3. Hupenda saana vuta brands ambazo ni expensive and not common... kama vile dunhill, Embassy, silkcut and the like... Kuna moja ile ipo inatangazwa kwenye bango kama unaingia pale M-city, nasikia pia iko kind of femine....
  4. Sijui inchi zingine but what i know mkaka wa ki TZ atatembea na mwanamke anaevuta sigara for fun, ama kwa ajili ya kuonekana kwa washikaji, BUT kwamba he will be serious with her?? Ni at minimal....
 
mbona cku hizi kawaida tu!tatizo bongo haya mambo kwetu mageni ila mm sishangai mwanamke kuvuta. Nawaona sana tu hasa hawa wanaokwenda abroad wakirudi wanakuwa wakula fegi kwenda mbele
 
mmmh...sasa itakuwaje jamani....naombeni basi dawa ya kuacha......
ina maana wote mliochangia hapo juu mnanichukia eeh....

kwani sukari guru uliacha lini? Mlaji wa sukari guru na sigara ni mbali mbali.
 
mmmh...sasa itakuwaje jamani....naombeni basi dawa ya kuacha......
ina maana wote mliochangia hapo juu mnanichukia eeh....
yaani mimi demu kama ni mvuta sigara hata akinipa bure simchapi kabisa!!!!! napataga kinyaa kabisa nikishamuona mtu anavuta sigara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom