Siwez pata galfrnd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siwez pata galfrnd

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kabaizer, Nov 2, 2011.

 1. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jaman nahitaj galfrind sichagui chochote ni yeye na mapenz ya ukweli.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh!!! wen u are desparate anything goes!
  kijana tulizana kanza kwa style hii ndio hutafanikiwa kabisa maana inaonyesha hujui unachotaka.
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  He!Haya jaribu bahati kijana.
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Dude uko desperate?
   
 5. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ah ndugu subir bas....mbona tena hivyo?
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kwa maandishi tu inaonyesha sanaa ya ushawishi huna sasa kama na muonekano pia huna wala pesa basi utasubiri sana kuokota embe chini ya mchongoma!
   
 7. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwa nn unauliza hivyo??
   
 8. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Najua majungu hayakosekan so nimejianda na watu Kama nyinyi....sasa kwenye cv ujiuze na kwenye mapenz ujiuze we vp wewe lala Kama vp....hi hi hi
   
 9. Kabaizer

  Kabaizer JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Usioge chatu just idea tu....
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo JF nisokoni??maana ulivyo uliza as if wapo wamafungu hapa jamvini ngoja waje wenyewe!!!eti mnabebeka kirahisi hapa??
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Kabaizer pitia huu uzi labda utakusaidia kupata galfriend..... Link
   
 12. JS

  JS JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huna criteria yoyote ile??
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  maelezo yako hayaeleweki ni kama umeandika tu baada ya kuchoshwa na kitu/vitu flani flani hivo mdada yeyote tu kwako anafaa!!
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  As long as hujui unataka nini huwezi kupata mdogo wangu. Mapenzi ya ukweli maana yake nini? anza kufafanua hapo. Alafu sasa fikiria ni mwanamke wa aina gani anaweza kua na chances nyingi za kukupa mapenzi kama hayo? Jiulize pia wewe uko tayari kumpa nini mwanamke huyo? Ukisha jivu maswali yote hayo rudi sasa tukupe ushahuri wa ziada.
   
 15. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  me nimekubali tuwe pamoja, sijali cha pesa, kazi, wala nini! bora tu uwe na constructive ideas... je uko tayari??
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ya kweli yapoje?
   
 17. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hee hee heeeh haya mtoa mada umemuona mtoto huyu? Mungu amesikia kilio chako njoo umpe ma konstrakitivu aidia ung'oe mtoto huyu!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hujajitambua kbs, kwan hujui hata unachokitaka,kwa taarifa yako cv kwenye mapnz inamatter sana labda umpate pupil mwenzio,yani ni muhimu kuliko hata kwenye kazi coz kazi unaweza ukapewa na mjomba ako bila cv!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  haya wadada changamkieni kijana hachaguiiii yoyote twende
   
 20. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  is too short
   
Loading...