Umuhimu wa kunawa Mikono...

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
Karibu ntaacha kupeana mikono na watu...hususan wanaume wenzangu. Kwa nini? Kila mwanaume aendapo chooni (haja ndogo) lazima ashike nanii yake. Hivyo kila upeanapo mkono na mwanaume, manake (indirectly) anakushikisha nanii yake.

Fikiria kwa siku unapeana mikono na watu wangapi? Kwa hiyo kwa siku umeshikishwa nanii ngapi? Mbaya zaidi, wengi wetu hatuna utamaduni wa kuosha mikono yetu baada ya haja...

Nadhani kuna haja sasa ya kunawa na sabuni kila upatapo nafasi...au vinginevyo si vibaya tukiwaiga wenzetu wa bara asia. Badala ya kupeana mikono, ni mwendo wa kuinamisha vichwa....!

Nawasilisha
 
Habari yako Manumbu.... Long time bana!

Hii post imenifurahisha saana....lol... Nimejaribu fikiria "what was Manumbu thinking? Did he do the same thing then it HIT him??" Hili suala mie hua naligusia saana huku katika jamii na nilishawahi muuliza hubby what he thought about the whole thing, in fact alieleza the same thing unaelezea hapa.

Enways najaribu fikiri..... Parts hizo ni chafu kiasi hicho?? As in haiwezi chukuliwa kama tu sehemu ya mwili kama nyingine... for note that hagusi tip wakati wa haja ndogo.... Or is it because ipo sehemu ya mficho??
 
aaaah!kaka sidhani hizo nanii ni chafu kiasi hicho,mbona kuna watu wanazilamba!!!zingekuwa chafu watu wasingeziweka midomoni bwana,endelea tu kunishika mikono!!
 
Nadhani kuna haja sasa ya kunawa na sabuni kila upatapo nafasi...au vinginevyo si vibaya tukiwaiga wenzetu wa bara asia. Badala ya kupeana mikono, ni mwendo wa kuinamisha vichwa....!


safi kama china vile
 
Back
Top Bottom