Wapangaji wetu wananifanya nisiwe na hamu ya kurudi kwetu kipindi hiki cha sikukuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapangaji wetu wananifanya nisiwe na hamu ya kurudi kwetu kipindi hiki cha sikukuu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Dec 15, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Nimepamiss sana kwetu-moshi,lakin tatzo ni wapangaji wetu ndio wanaofanya nisiwe na mzuka wa kurudi kwetu,chumba changu ninachokitumia kule home kiko uani na kimepakana na vingne vya wapangaji,sasa tatzo ni kwamba,kuna mbaba mmoja ambae kiumri ni sawa na mzee wangu,ameoa kabinti kadogo dogo,yani wao usiku kucha ni kutiana tu,afu huyo binti anapgaga kelele hadi cku moja watu wakatoka nje wakidhani labda anataka kufa,sa me najckiaga aibu sana,hasa pale ninapokutanisha uso wangu na wao...!!nimeona niendelee tu kukaa huku mjini kuepuka fedheha.
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  Mmmmmmh...kwanini upate fedheha wakati wao wapo na business zao kwa raha zao...tena wanandoa!!...labda kama unajichimbia sababu ya ishu nyingine sio hiyo.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mtongoze huyo binti,ataacha kupiga kelele
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Angalia watu wasije kufikiria kuwa unakataka hako kabinti kadogo!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Acha hizo wewe, kama wanakukera washawishi wazazi wako wawatimue!
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na ww si uoe na nyie mpige kelele.
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Chukua wako na wewe wakianza kupiga makelele na wako apige
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi kuna ambao hawapigagi kelele???
  yani kimya kimya kama mnangoja majibu ya HIV test......hahahaha
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  hao wanapga kelele kama wanauana mkuu.
   
Loading...