Masista du hua hawataki hata watu wajue kwamba hua wanaosha vyombo au kupika sembuse kuwa na mtoto?
Hmmm...masista du wa wapi hao?
Wa hapa mjini. . .
Mjini wapi?
Si hapa dasilamu.
Wewe ni sista duu?
Nope. . .
Wewe ukoje?
We bana. . . Kama nimetoka shamba jana.
Nimekuudhi? Uko kwenye mood mbaya leo?
Noo, hilo ndio jibu.Yani niko kama nimetoka shamba jana.
Alafu mood iko poa ila afya mgogoro.
Pole na kinachokusumbua.