Kuna ukweli wowote kwenye hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Possibles, Dec 14, 2011.

 1. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini bila ganzi) wako na nguvu za kutosha ila tatizo ni kubwa kwa waliotahiriwa kisasa(hospitali kwa ganzi).Je suala hili lina ukweli?Je wanaume mna maoni gani(maana mnajijua mlikotahiriwa na nguvu mlizonazo)Pia kwa wanawake mnalionaje hili hasa mkipima nguvu za wenza wenu kulinganisha na mahali walipofanyiwa tohara!?
   
 2. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Je!kuna haja ya wanawake sasa kuanza kuchagua mwanaume wa kuwa naye kimapenzi kwa kuchunguza kwanza alitahiriwa katika mazingira yepi?
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu umeleta habari humu bila scientific evidence?
   
 4. m

  mataka JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mmmh, hii yaweza kuwa kweli. Make mie ni mmojawapo wa waliotahiriwa porini bila ganzi na kweli nina nguvu za ukweli na za uhakika.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, duh jf kuna mambo!
   
 6. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  masai supai!!! Naona upo kwenye promotion......
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  Ni mawazo yangu tu naona hii thread ihamishiwe kwenye JF doctor
  Ingawa ni kweli ulichozungumza kuwa tuliotahiriwa porini tuko Imara
  zaidi, hilo halina ubishi na hakuna asiyefahamu hapa.
   
 8. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  reserch questions 1. Ganzi inayotumika kwenye tohara ndo inapunguza nguvu za kiume 2. Nyuzi za kushonea **** zinapunguza nguvu za kiume 3. dawa zinazopakwa kwenye **** huko porinizinaongeza nguvu
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Fanya 'scientific study' utaweza jibu swali lako ukiwa na evidence. Case-Control Study itakusaidia, cases ni wale waliopungukiwa nguvu za kiume..na control ni wale wenye nguvu za kiume kama kawaida ila uwamatch kwa umri, life style (mlo, mazoezi etc), na confounder nyingine utakazofikiria...kisha look back in time kuona walitahiriwaje (hospitali kwa ganzi vs porini kwa jando), halafu compare hizo group 2. Hapo utapata scientific evidence kuwa ni kweli au la....lakini sio humu JF kwa watu kusema mimi hivi, na mimi vile...hujaweka hata case definition ya 'kupungukiwa nguvu za kiume' maana yake ni nini!
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ni researchable topic japo mimi kwa mawazo yangu naona haina ukweli wowote, iwapo utakuwa umetahiriwa katika mazingira yeyote yale lakini hufuati mambo yafuatayo ni lazima uathirike tu na hili tatizo.

  1. Kula vizuri balanced diet
  2. Kufanya mazoezi
  3. Epuka mazingira yatakayokupelekea kwenye Frustrations
  4. Epuka ulevi.

  Binafsi hivi vitu vimenisaidia sana, na huwa napata feedback nzuri iwe ndani au nje ya ndoa (in case nikitereza....lol)
   
 11. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Huna evidence ya kusema ulichosema...mtoa mada mwenyewe hafahamu hilo, ndio maana kaleta mada, na wachangiaji wengi wameonyesha kutofahamu hilo...sasa wewe utasemaje hakuna hasiyefahamu hilo!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hili suala nalipinga kwa asilimia zote kwani ile ganzi inauhusiano gani na nguvu kazi ya mashine?
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Umesahau na aina ya test statistic atakayotumia ku validate matokeo yake
   
 14. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  RIWA nakuheshimu sana kwa michango yako. Hilo jibu langu ni
  jepesi na wala halina ushahidi wowote nimejibu kama changamoto
  tu kiukweli hata mimi hilo jambo ndio kwanza nalisikia leo hapa JF
  sijapata hata kulisikia na inawezekana ni vituko tu vya mtoa mada
  kutaka kuwachokoza waliotahiriwa hospitali.
   
 15. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  Mkuu usianze kupinga kwa jaribu kuuliza kwa wataalamu huenda
  ile kitu inapunguza uwezo wa Ofisi kuajiri wafanyakazi wengi!
   
 16. V

  Visionmark Senior Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli upi huo unaoumaanisha hapa!? Hv mwanaume awe yule aliyetahiriwa porini bila ganzi au yule aliyetahiriwa hospitali na ganzi atafanyafanyaje ili kuthibitisha na kuhakiki kuwa mwanaume mwenzake aliyetahiriwa porini bila ganzi au mwanaume aliyetahiriwa hospitali na ganzi ama ana nguvu nyingi za kiume au pungufu kuliko yeye?!!
   
 17. sister

  sister JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  kwani hili tatizo limeanza miaka gani? mana kama limeanza tangia enzi za mababu zetu basi kutailiwa hospitalini akuna effect yoyote ila kama limeanza hivi karibuni basi its possible hospitalini kunachangia, plus life style yetu ya sasa na vyakula tunavyokula too artificial. mpaka wadada nao wanasumbuliwa na hili tatizo sasa nao tutasema ni kutailiwa hospitalini au ni nin? ( nimesema tu)
   
 18. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Uki-connect dots you might come up with a very brilliant natural scientific reason. Asilimia kubwa ya wanaotahiriwa porini, maisha yao huishi huko huko porini (vijinini). Vyakula vyao mara nyingi ni natural food. Remember, you are what you eat. Pia wana physical work za kutosha. Kitu lazima kiwe na stamina (sorry kwa ushabiki). Wanaotahiriwa hospital, maisha yao huishi mijini. Always mijini we are busy na junk food. Remember again, you are what you eat. Stamina itoke wapi!!! Ukifanya majumuisho, issue siyo circumcision mode. Ni mazingira na vyakula. Kwa hiyo ukitahiriwa porini bila ganzi, then ukaja kuishi maisha ya junk food. Sorry, you will fall under the same awful category (maana naona kila mchangiaji wa kiume anajifanya katahiriwa porini). But don't worry, thats why we have Viagra.
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwani wadada nao wanasimamisha? Wanakwazwaje na sintofahamu hii? Au sijakuelewa vizuri? Labda!
   
 20. s

  shomshallo Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaah wap me wa temeke hospital naenda 9 per mzigo we wa pori la mzinga waenda ngapi?

  sema vijana mpunguze nyuliiiiii na mtindo wa kurefusha kiungo chenu ndicho kinachowacost, mbona wadada hawaongez vya kwao? we unafikili hawajui
   
Loading...