dilema jaman which z which... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dilema jaman which z which...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by obsesd, Dec 15, 2011.

 1. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nina utata wana jf..... iv ni vema kuolewa na 1 love wako afu hujui kama unachokipa ndicho icho exactly or anajua mambo kiukwel
  cz hautataka kutoka nje ya ndoa au bora uonje radha tofaut ujue which z which b4 kukurupuka.
  msaada jaman.........
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kurupuka, hutajua kama anajua au hajui
  ukionja vingi utakuwa mtaalamu
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mwanamke ukichomekwa sana na miti tofauti shimo linachoka...linatanuka na linazidi kuwa na sura mbaya!!!! Cha msingi ridhika na huyo ulienae kama kuna ambacho hupendezwi nacho ukiwa nae kwenye 6/6 ni vizuri ukimwambia...huku ukimueleza unapenda ufanyiwe vitu gani. Otherwise utajikuta unaonjaaa weeeee,kila sehemu wachomekwa na ladha yenye hukutani nayo..mwisho wa siku magonjwa shuuuu!!
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  endelea kuonjwa.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm pagumu hapo...ila i wuld suggest have fun kidogo before hujatulia
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unapoolewa unakua unataka nini hasa?
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  jamani kongosho vibaya hivo bana,embu mpe liushauri la ukweli.
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hivi bila shaka ni tabia za Uma.laya!! Onja onja, chovyahovya..ushenzi mtupu
   
 9. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uasherati
   
 10. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka uwe used kwanza ndiyo uolewe?Mbaya sana.Ujuaji wa mapenz ni hadith tu hakuna kipya!Na huwez kupata mtu aliyekamilika ktk vyote!Kama anajua mambo pengine akil hana ya nn sasa?Angalia sifa za msing za mwanaume k.v utu,elim,umri,haiba mengine mtajifunza pamoja!Kwan Adam alijifunza wapi?
   
 11. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Tulia na huyo mmoja umpendae hata kama hujui mambo lakini baada ya muda utajua tu vyote kupitia huyohuyo mpenzio.
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mi nadhani bi dada proceed kwanza na uchovywajwi zikishakuchovya abt 10 bars or more mwisho wa siku uta'recognise which is which! Nasema hivyo kwani mimi ni Radical wa mrengo wa kushoto hua sikubaliani na zile slogany kama vile "Sijui utamaliza mabucha na nyama ni ileile".
  Sikubaliani kwakua mie nishawalamba ma'manzi wa idadi niijuaayo mie na taste zao za K hazifanani kabisaa wengine utaikuta ya moto sana (much warm) hizi ukigusa tu huchukui dkk 15 unajogo! Unaweza ifananisha na Embe lililoivia mtini, zipo zilizopooza (tasteless) kama ni Embe ni yale yalioivishwa kwa moto, hizi kukitupa sometimes inakubidi uazime fikra kutoka maeneo mengine, pia kuna zile zinaitwa Mtera au irrigetion (amaizi) too wet ambazo kwazo zina habari zake.
  Na nina hakika wanaume nao tunatafautiana ndiyo niko katika feasebility study na kasma budget ya utafiti imeshatengewa.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  dah..where is Gaijin???
  this one takes the cake lol....
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Bado mdogo hana trick za kulipunguza shimo kisasa, bora akae na huyo huyo wafundishane a, e, i...

   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ila ke ziko tofauti tofauti.
   
 16. C

  Chepeti Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni which

   
 17. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Nani kasema, na za wanaume je zinakuwaje,
   
 18. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  i got u ol wanajf kilichobak kaz ni kwanguu. tnx nways.
   
 19. King2

  King2 JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Andika Maneno vizuri kwenye Thread.
   
 20. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hujaelewa nn king2 mbona the rest hapo juu wameelewa na wamechangia.
   
Loading...