Kukaa uchi mbele ya mtoto!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wadau naomba kuuliza kuna kitu kina nitatiza, mimi nina mtoto mchanga wa miezi13 yaani mwaka mmoja na mwezi mmoja, tokea kazaliwa huwa nafanya jambo lolote mbele yake kama vile kubadirisha nguo mbele yake, kukaa uchi mbele yake na kuchezacheza kikubwa na mama yake ilihali yeye anachezacheza kitandani na anatutazama. Nimeanza kuwa na wasiwasi kwamba huenda anatuchora, je ni katika umri gani wa mtoto natakiwa nisikae uchi mbele yake wala kucheza michezo ya kikubwa na mama yake?
 
Akikua huyooo! Muamishe mapema kabla hajafikish umri wa miaka miwili.. Mana kam hutafany hvy inasemekana na ni true kuwa watoto katik umri huo huwa wachunguzi sana.

Na akijua hvyo anaenda kupratice kwa watoto wenzake.. Au akianza kuongea halaf bado mpo nae chumba kimoja ataenda kusimulia watoto wenzake au mbele za watu. Aibu inakuwa kwao na mkeo
 
Akikua huyooo! Muamishe mapema kabla hajafikish umri wa miaka miwili.. Mana kam hutafany hvy inasemekana na ni true kuwa watoto katik umri huo huwa wachunguzi sana.

Na akijua hvyo anaenda kupratice kwa watoto wenzake..
Mungu aepushie mbali!!!!
 
mkuu acha mara moja, watoto ni wadadisi sana wa mambo
we utadhani haelewi kumbe mwenzio amesha rekodi vyote.
 
Hivi unadhani kwa nini unakuta kitoto cha miaka 3 kinajaribishia baba na mama kwa kasichana ka miaka 2?

Mtoto wako atabaki na kumbukumbu ya mjegejo wako, shauri ako
 
Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Mkuu kama wewe ni kizazi cha chachacha na raba mtoni katika umri huu uwezi kukumbuka uliyoyafanya wakati una miaka 3,lakini katika kizazi hiki cha Supra na pinki colour ogopa sana kiongozi lolote laweza tokea,imagine kitoto kina just 5yrs lakini kinajua kila kitu we unadhani kimeanza jifunza wakati kina umri gani?
 
Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Mi nakumbuka kuna wakati nilikuwa nalia halafu naambiwa Simba huyo
halafu mtu anakuwa amejificha nyuma yangu ananguruma mmhuuuuuum
nilikuwa naogopa kwelikweli.

Pia nakumbuka sana nilivyokuwa nabebwa kwenda bustanini n.k kuna mengi
tu nayakumbuka siwezi kusimulia yote, hayo ya chumbani nakumbuka nilikuwa
nalala na yaya wangu ambaye usiku alikuwa anagongewa dirisha na huyo mtu
ambaye simkumbuki. Akishaingia nilikuwa napewa BAZOKA au kitu kingine......
sikumbuki vizuri baada ya hapo maana kumbukumbu zimepotea.
 
Mkuu kama unakumbuka chochote lazima utakuwa na umri kati ya 4-5 yrs chini ya hapo ni ngumu sana kukumbuka mkuu
 
Back
Top Bottom