Msiba: Mtambuzi amefiwa na Mama yake mdogo!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi tulimpenda ila Bwana amempenda zaidi, jina lake lihimidiwe.

Mazishi yatafanyika KESHO, jumatatu 12/12/2011 huko SAME (milimani)

Kwa members walioko maeneo ya Arusha na Moshi mnaweza kuungana na mwenzetu physically.
 
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi tulimpenda ila Bwana amempenda zaidi, jina lake lihimidiwe.

Kwa members walioko maeneo ya Arusha na Moshi mnaweza kuungana na mwenzetu physically.

Tunashukuru kwa taarifa,
Mtambuzi pole sana. Mungu akupe ujasiri.

Hebu wasiliana na Mtambuzi akujuze mambo ya msingi yafuatayo;
1.0 Mazishi yatafanyika lini.
2.0 Mazishi yatafanyika wapi.

Natumaini baada ya hapo watu tunaweza kujipanga kuona jinsi ya kujumuika na mwenzetu Mtambuzi.
 
Mazishi yatafanyika SAME (milimani) na mazishi ni kesho.
 
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi tulimpenda ila Bwana amempenda zaidi, jina lake lihimidiwe.

Kwa members walioko maeneo ya Arusha na Moshi mnaweza kuungana na mwenzetu physically.

R.I.P mama mdogo wa mtambuzi.
 
Du Namuombea kwa Mungu ampe moyo wa ujasili,kwani mwaka huu hajaufurahia kabisa,Poleni sana nduguzangu hii hali haikwepeki Mungu awe pamoja nanyi.
 
Pole sana mzee mwenzagu Mtambuzi. Mwenyenzi mungu akujalie nguvu na umsindikize nduguyo salama.
 
Back
Top Bottom