Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima yenu Wana JF, Natambua penye wengi hakiharibiki kitu,mimi nimebahatika kupata elimu ya chuo kikuu na Mungu amejalia nimemaliza degrii ya pili na sasa nafanya kazi.Kipato changu ni cha...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
"Dear God, please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cellphone, Amen."
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
...If walls could talk!.... Picha hii inakupa ujumbe gani? Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
0 Reactions
259 Replies
28K Views
Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nimefanya utafiti juu ya tabia za watu ambao hawanywi pombe si kwa sababu ya dini yao ila walizaliwa hivyo, asilimia 80% nikagundua wana matatizo sana ya kupenda wanawake , yaani wapenda ngoo...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Miaka michache nyuma, nikiwa ndiyo nimemalizia shahada yangu ya pili na kuanza kazi kwenye kampuni moja ya Insurance, nilibahatika kukutana na dada mmoja, mpole na mwenye muonekano wa unyenyekevu...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Kuna maharusi walipokuja kufungua zawadi zao wakakuta kuna zawadi moja ina hirizi ambayo kwa maelezo yao ilikuwa inapumua, Wakaita watu na kuipeleka kwa mchungaji, wakafanya maombi na kuishia...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo Awe bikira Umri: 22-28 Awe Muaminifu na mcha Mungu Hajatoga masikio Awe mweupe Awe na Elimu inayozidi form 4 Awe mwalimu Awe hapendi kuvaa suruali Awe...
1 Reactions
114 Replies
15K Views
Wadau mi naona kuwa na rafiki wa kike ambaye si mpenzi wangu inaniwia ngumu sana sasa sijui ni mimi tu au hata nyie inakua hivyo hivyo . maana unaweza kukuta unae rafiki wa disign hiyo halafu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
ni nini maamuzi yako hapo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baba X aliondoka nyumbani kwake miaka 7 iliyopita na kuambatana na nyumba ndogo yake,na kumwacha mkewe akiwa mjamzito miezi tisa na watoto wakubwa wawili, ,bila hata huruma,na hakuwa na...
6 Reactions
221 Replies
16K Views
Kama mnakumbuka kuna kijana aliniomba mtoko juma lileee lililopita, nikaja hapa kuomba ushauri wa kivazi cha kutupia. Nawashukuru saaana, maana kila aloniona alinisifu kuwa nimependeza, maana hata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wananchi wenzangu.ebana,nina rafiki yangu wa kike{urafiki wa kawaida}ambae bahati mbaya ye hana bumu so anategemea kila kitu toka kwa wazazi wake,cha kushangaza huyu bidada...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kama umezoa kulala na mwanaume bila kumpenda jua wewe ni kahaba sasa basi kama unaishi na mume ambae umpenddi na unajua huna mapenzi yake rudi tu kwenye ukahaba muwachie nduguyo aendelee na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijui ni maisha au nini! Style za mahusiano siku hizi yanaenda kinyume nyume. Kijana(ME) anataka aliyemzidi umri(JIMAMA/SUGARMUMMY) ajitimizie mahitaji yake. Kijana(KE) anataka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
hasira za mkizi hutuponza kujenga makusudio ya kulipiza kisasi..............................lakini hayo huwa ni kivuno cha mvuvi................kisasi humfunga mlenga kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele. Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Inakuaje unamwambia msichana,nna gf wangu..lakini hakuelewi??..siongelei hapa jf,imetokea huyu mdada ananisumbua sana,sina amani.mpaka nikiwa na gf wangu naweka cmu silent.aggggggggggyyyyyyyyyyyy
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…