Habari za sunday wana mmu?
Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha...
Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi...
Habari wana sebule..i started dating a guy 3months ago (my 2nd boyfriend ever-i dated the first for a month before we got separated) the time between them was about two years.i am a late bloomer...
mahusiano ni uwekezaji/investmentna kama investment nyingine ili iwe succesfull vitu vifuatavyo vinaitajika1-capital-pesa ni muhimu ili mapenzi yenu yaweze kusimama kama wallet inasoma sifuri...
Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi...
Wanawake wasema: Waume zetu wana haki ya kutupiga
Imeandikwa na Grace Mkojera; Tarehe: 25th November 2011
Habarileo
ASILIMIA 47 ya wanawake wanakubali kwamba mume ana haki ya kumpiga mkewe pale...
Ndoa ni kila mmoja anavyoishi
leo naomba niwapashe mabinti dada zangu wanwake wengi waanaharibu nyumba zao wenyewe
biblia inasema hivyo sasa leo tukielekea jumapili yawezekana umekuwa chanzo cha...
Kuna binti ambaye nilifungua pazia mwenyewe lakini alivoingia chuo amenimwaga mwaaaa! Rafiki yake wa karibu sana ananitaka niwe naye kimapenzi,je nimkubalie huyu rafiki yake au kuna kamchezo...
Kuna jamaa punga humu JF amekuwa akinisumbua sana kuwa anataka nimhemee, anasema amenifia ile kiroho mbaya kwa kuwa nina jina la kiporipori. Ameniambia atanifundisha namna ya kumuingilia kinyume ...
Kuna demu flani hapa mtaani, next wiki anaolewa. Ni demu wangu wa kitambo sana. Ameshaniaga kuwa anaolewa.
Jana amenitumia sms kuwa japokuwa anaolewa ila hatoniacha. Bado ananipenda sana. Na...
Ni tarehe ishirini na sita mwezi wa kumi na mbili mwaka jana, kwa kizungu boksing dei, anaingia msichana mrembo kutoka Sydney Australia. Alikuwa huko kwa ajili ya masomo, ni mwanasheria na...
...rafiki yangu alinambia ameumizwa sana kwenye mapenzi kiasi kwamba anaona moyo wake umekufa ganzi, amekuwa mkatili,...hawezi kupenda tena!
Kina dada, na kina kaka....wazee kwa vijana. Najua...
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa...
Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule...
Mijitu mingine ikipata nyumba ndogo huanza mbwembwe kwa wake zao na ndugu na jamaa pia.
Utakuta mtu anaondoka nyumbani alfajiri, unarudi saa tisa usiku, shati limejaa ma lipstic, unarudi na...
Nafahamu ya kuwa si mpango wa Mungu kwa mtu aliye tajiri kumtawala maskini kwa sababu ya umaskini wake. Na pia nafahamu si mpango wa Mungu kwa nchi zilizo tajiri kuzitawala nchi maskini kwa sababu...
Nimejiuliza wakati napitia uzi wa Cantalisia kuhusu jamaa alietoka nduki baada ya kugundua mpenzi wake ana mawe zaidi yake.Sasa swali linakuja,kwanza wanawake wanakubali kuwa mwanaume ni kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.