World's first School of practical Sex

Che Guevara

JF-Expert Member
May 22, 2009
1,236
346
Welcome to Aisos

The world’s first school of practical sex. Though our courses include both history and modern sexual theory, the emphasis is on how to be a better lover. Sexual positions, caressing techniques, anatomical features- these are the AISOS disciplines. And we teach you hands on. Now, please explore our site.

"You have trained your mind, your muscles, your fitness, but how much have you spent developing your skills at what really matters... love?"

/Ylva Marie Thompson headmistress of Aisos.

Austrian International School of Sex

www.aisos.at
 
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.

Mmh! We binti una matatizo gani mpaka unajitolea kuwa specimen tena bila mlipo?
 
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.

haikusaidiii kupika?? Duh we ni noumer... ulipewa bure unagawa bure nigawie na mimi bhasi..
 
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.[/QUO
Mmmmmmmmmh!!we nouma
 
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.
Uki2mika sana ladha itakuishia, badili mtazamo bwana.
 
Kwema babu
eti hawa vijana wanataka tuwauzie
mie spendi kabisa kuuza

Sawa tu Kongosho,

Yote ni mema ili mradi unapata kitu roho inapenda na unajihakikishia usalama wa kutosha!!

Mie nitaomba mnitafutie kazi kwenye hiyo shule yenu niwe mtazamaji wa kudumu!!

Babu DC!!
 
DC, kutazama peke yake hairuhusiwi, hiyo ni practical skul. Uende na jembe just incase,lol
 
DC, kutazama peke yake hairuhusiwi, hiyo ni practical skul. Uende na jembe just incase,lol

Mhhhh,

Ndio maana nikasema mnifikishie ombi maalum kwa wahusika.. Naamini wako fair na watatoa nafasi kwa kila mtu.

Kwani ukiwa kibogo unazuiwa kukaribia butcher???

Babu DC!!!
 
Siyo kuniuzia, mi nataka unimilikishe kihalali kabisa, babu dc mwache kwanza

Wewe endelea kujaribu tu...Usiwe na shaka, jina lako linaeleza kila kitu,

Babu DC enzi zake zilishapita kitambo.........He is really harmless!!
 
Wewe endelea kujaribu tu...Usiwe na shaka, jina lako linaeleza kila kitu,

Babu DC enzi zake zilishapita kitambo.........He is really harmless!!
Kwakua ushauri wa babu ni kama mkuki uchomao kuwili, waweza peperusha njiwa wetu pia.
 
Mi nadhani unafaa ubaki home
ili uwasimulie wajukuu hadithi

Ya hii shule yanaweza amsha hasira zilizolala siku nyingi bure

Sawa tu Kongosho,

Yote ni mema ili mradi unapata kitu roho inapenda na unajihakikishia usalama wa kutosha!!

Mie nitaomba mnitafutie kazi kwenye hiyo shule yenu niwe mtazamaji wa kudumu!!

Babu DC!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom