utafanyaje ukigundua hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utafanyaje ukigundua hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mzabzab, Dec 4, 2011.

 1. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  utafanyaje ukija gundua kuwa jina alilochagu mke wako kumpa mtoto wenu ni jina ya jamaa aliye kuwa boyfrend wake chuo?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  imerudiwa hiii
   
 3. The great R

  The great R Senior Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nambadilisha na kumpa ninalotaka
   
 4. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Lakini c mtoto wangu???
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanza jina halipewi na mzazi mmoja. Lazima mtakua mmepanga jina kwa muda mrefu na mmekubaliana (na mnazijua sababu zilizo wafanya kuchagua jina hili au lile). sasa ukigundua baadae kua jina la ex wake ni lile lile alilo lipendekeza haiumi sana coz kuna sababu zingine amekutolea zinazo fanya jina hilo liwe chaguo lenu, na hiyo sababu ya kua ni jina la ex linakosa uzito sana.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kama ana ma-ex wengi labda alikua hakumbuki kama hilo jina ni lake. Sio issue,lol
   
 7. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Muache tu amuenzi bf wake! (joke....)
  Ushauri:
  Inategemea na wewe mwenyewe km hujalipenda mbadilishe jina haraka sana kwani inawezekana kufanya hivyo ila km huna tatizo na hilo muache tu aendelee kuitwa hilo jina. :A S-coffee:
   
 8. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Shida iko wapi? Kama ni jina zuri
   
 9. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ....na wewe umelikubali..
   
 10. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  kama nawe ulikuwa na x akawa na jina zuri je? UKILIKATAA ujue una Gubu
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo jua bado ana mfeel; wewe ni kama maji tu kwa mwenye kiu ya soda au bia. Lol.:juggle:
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna mbaya kama mmeliridhia wote wawili.
   
 13. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  mmmh..hamnaga ata kama zuri sana?
   
 14. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nalikubali tu.
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mada iko wazi kwa kusema "aliekuwa" boyfriend wake..thats means hana chake saiz maana ni mkeo sasa...vipi mkuu au yamekukuta? Pole sana..na toa shaka as long as unajua mtoto ni wako..
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na mie nampa jina la nyumba ndogo yangu
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nauaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 18. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kama kawa
   
 19. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,694
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  sikubali nambadilisha jina fasta,ila mie mwenzenu nina kazi si kitoto,Mke wangu ni WAJINA wa Mama yangu,aisee kazi ninayo. Nalo off
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,694
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Usifanye hivyo bi dada,watakupeleka jela. Nalog off
   
Loading...