Wazo la Leo!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Kwa leo wazo letu litasomeka hivi "Kosea mambo yote lakini usikosee Kuoa".

Mbaki salama waheshimiwa
 
Ndoa ingelikuwa inajaribiwa mimi ningefanya majaribio ya wanawake wa kila aina na kila kabila kujua yupi ana kiwango cha ubora (TBS)
 
Hivyo vitu sio ready made, unatakiwa kuvifanyia kazi tu. Sio swala la kabila
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom