Hii imekaaje wapendwa???

Bukayo jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,782
1,638
Habari zenu wana MMU...
Siku hazipiti hapa MMU basi itapostiwa thread ikiwa imekaa kimfumo mfumo dume hivi kitu ambacho wenye kuuchukia huwa wanawasha moto vibaya sana hapa...

Sasa kwanini mwanamke akiambiwa "we mwanamke jasiri,kauzu,ngangari kama mwanaume? Anafurahi kweli kweli...mbaya zaidi utakuta mwanamke anamtukana mwanaume "we nae mwanaume? una mambo ya kike kikee" hapa huwa sielewi kabisa akimaanisha kakutusi...
Sasa usawa uko wapi hapa? Kuwa kidume au wakike kike?
 
waionaje hii? Maana suala la usawa linapiganiwa sana, lakini hao hao wana underrate jinsia yao sometimes..

as far as i am concerned hakuna usawa
ila kuna haki za wanawake tu,na sioni tatizo wakipigania haki zao
 
Theoretical, wanawake na wanaume ni sawa, practiacal, hili halip[o kabisa na usijidanganye...

Linapotokea tatizo, sisi wanawake ndio wa kwanza kujiweka kanda na kusema "wewe ndio baba wa nyumba..."

Tehe tehe tehe
 
Habari zenu wana MMU...
Siku hazipiti hapa MMU basi itapostiwa thread ikiwa imekaa kimfumo mfumo dume hivi kitu ambacho wenye kuuchukia huwa wanawasha moto vibaya sana hapa...

Sasa kwanini mwanamke akiambiwa "we mwanamke jasiri,kauzu,ngangari kama mwanaume? Anafurahi kweli kweli...mbaya zaidi utakuta mwanamke anamtukana mwanaume "we nae mwanaume? una mambo ya kike kikee" hapa huwa sielewi kabisa akimaanisha kakutusi...
Sasa usawa uko wapi hapa? Kuwa kidume au wakike kike?

Kashengo umenikumbusha one of my Best quote ya Dr. Meredith Gray yasema hivi "At some point, you have to make a decision. Boundaries don't keep other people out. They fence you in. Life is messy. That's how we're made. So, you can waste your lives drawing lines. Or you can live your life crossing them. But there are some lines... that are way too dangerous to cross."

mimi nagota hapo kwenye "But there are some lines... that are way too dangerous to cross" sanasana linapokuja swala la gender always M.mke atabaki M.mke na M.ume atabaki M.me.

Similar Discussions

Back
Top Bottom