Makubwa haya nayo

christer

Senior Member
Feb 12, 2010
131
39
Habari za asubuhi mabibi na mabwana.poleni na hongereni kwa kazi.

Jana nimehudhuria Send Off ya ndugu yangu.sherehe ilipangwa kuanza saa kumi na mbili na nusu jioni .lakini tuli lazimika kuanza sherehe saa nne na nusu usuku baada ya bw harusi mtarajiwa na wajumbe wake kuchelewa kufika ukumbini.wageni hao pia walikuwa hawapatikani katika simu zao.ikawa patashika kwa ndugu wa bi harusi na bi harusi mwenyewe.mpaka make- ups zilianza kufutika kwa machozi.
cha kushangaza wageni walipofika walisema kuwa gari liliharibika njiani sasa nikajiuliza.
-kutoka kimara mpaka mbezi beach siyo porini kwanini usitafute usafiri mwingine hata bajaj kwa muhusika mkuu afike?
-wageni wote hawakutumia gari moja kwanini wasije wachache kwanza ukumbini.

kwakweli tulijisikia vibaya sana.uzembe gani huo na disorganisation kwa kijana anayetarajia kutunza family.
 
....dalili za mvua mawingu, bi harusi mtarajiwa anahitaji tissue za kumtosha huko aendako.
 
Mnayataka................mfululizo wa mijisherehe isyo na tija kwenye ndoa yenyewe zaidi kuhalalisha ulaji na makunywaji tu!
 
poleni sana hasa kwa bi harusi yaani hawa watachelewa hata kupiga maisha
 
si afadhali alikuja after all,kuna mwingine hakutokea eti iyo send off ye haimuhusu
 
Ndoa matokeo ya kumfoc mtu muoane!
Jamaa km atatokea siku ya ndoa huyo dada amshuru mungu wake,
Na ajiandae kukompiti na nyumba ndogo ya jamaa.
 
....dalili za mvua mawingu, bi harusi mtarajiwa anahitaji tissue za kumtosha huko aendako.

sidhani kama itafikia huko, ila ni aibu kwa jambo muhimu kama hilo ambalo kumbukumbu yake ni ya kudumu kufanya uzembe kiasi hicho
 
tutajie kabila la upande wa bwana harusi.... nahisi katakua kakabila fulani ka kaskazini... ndio walivyo..
 
sidhani kama itafikia huko, ila ni aibu kwa jambo muhimu kama hilo ambalo kumbukumbu yake ni ya kudumu kufanya uzembe kiasi hicho

unavigezo gani vya kutodhani hivyo? hawa jamaa hata kwa simu walikuwa hawapatikani, ina maana waliharibikiwa mahali palipokuwa hapana mtandao pia. Kuna jambo bi arusi mtarajiwa amuombe Mungu wake sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom