Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Dugo, Dec 5, 2011.

 1. D

  Dugo New Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni miaka miwili imepita bila yamatumaini wazee waliniambia nitafute mke niowe yyt ambae aliekuwa tayari kuishi na mimi bc tuwasiliane kwa cm no:0777 600127 awe Muislam endapo akiwa Mkristo akubali kubadili dini vigezo na masharti kuzingatiwa. Niko Z'bar by by.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi siko tayari kuishi na wewe kwasababu sikufahamu.
  Jieleze hapa vya kutosha (elimu, kazi, muonekano, mshahara, unavyoishi, hobbies n.k), ambatanisha na picha alafu ntakufikiria.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mpaka sasa huna matumaini, unadhani utayapata ukioa?

  Au unatafuta mtu wa kugawana naye matatizo yako?
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmmmhhh haya!
   
Loading...