Je hii inaeleweka?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.

Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.

Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Translation = sikupi ahadi yoyote wala sitaki kujikomiti kwako kwahiyo siku nikiamka nikakwambia mimi na wewe basi usinilaumu.
 
it simply means 'sijakupenda kihivyo so taratibu aisee usinipelekeshe puta'....
Aksante The Boss, what if mmekaa muda ambao unahisi unatosha kwa kumove to the next step?! Mara nyingi hii hutokea mnapokuwa mmekaa kwa muda kiasi
 
Aksante The Boss, what if mmekaa muda ambao unahisi unatosha kwa kumove to the next step?! Mara nyingi hii hutokea mnapokuwa mmekaa kwa muda kiasi

Naomba nimjibie Boss, please ,please, pleaaaase?!

Kama baada ya muda kupita bado mtu anajihami namna hiyo wakati mpaka mlipofikia hujamtenda basi jua fika hana malengo ya mida mrefu na wewe. Ama hayuko tayari/hana uhakika kama mtakua pamoja kwa muda mrefu.Yani akua yupo kwaajili ya muda huo mliopo (present time) na sio kwaajili ya kesho na kesho kutwa.
 
kuna watu wa hivyo,na kweli wameumizwa na wapenzi wao wa kwanza.ila pale anapopata mtu mwingine nakumpenda kweli kweli,hawezi sema maneno hayo.otherwise kama anaona mambo kama yale aliyotendewa awali na mpenz wake.
 
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.

Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.

Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?

....Hapo lazima uwe mguu nje mguu ndani na uwe tayari kwa lolote lile ambalo linaweza kabisa kuathiri mapenzi yenu. Hakuna sababu yoyote ya kulialia kila saa na kulalama kwa mpenzi mpya kwamba umeshawahi kuumizwa kimapenzi na hivyo unajihami katika mapenzi.....lover beware!!
 
mapenzi ya kileo lazima uwe mbayuwayu,
watu wanaoana na bado wanaachana sembuse hawa tunaosaidiana kupitisha muda?

Ukiona ivo jua mnasaidiana ujana hamna la maana zaidi hapo

Ni kweli kongosho but naamini kuna muda na muda au? Maana kama ndo kaingia na gear hii aweza tumia ages kutumia sentensi yake kwa kuogopa kumilikishwa
 
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.

Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.

Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?

Haya ndio matatizo yetu. Hivi kuna kukubaliana kupendana au hutokea watu wakapendana? Mapenzi ya namna hii mwisho wake hufanana na mwanzo wake.
 
mkitazama mapenzi 'in bussiness mind' hutapata tabu ya kuwaelewa watu......

mfano ni huu.....
wewe unatafuta nyumba na bajeti yako ni milioni 25,nyumba ya kununua.....

ukipata nyumba ambayo unaona 'thamani yake ni zaidi ya milioni 25' inauzwa kwa milioni 25 au chini
obviously 'utanunua mara moja'.....
but ukiona mtu anasema 'subiri kwanza' maana yake anategemea
kuna nyingine 'better' itajitokeza kwa hiyo wewe umewekwa 'pending' labda isitokee nyingine...
get it?
 
Wala sio hivo. Hii ni case ya mtu amekaa nyumba ya kupanga, but akilini mwake anaweka hela ili kesho anunue nyumba. Na wewe ndio nyumba ya kupanga sasa. Hata kupaka rangi na kazi ndogo ndogo za ukarabati anasema what for, sio kwangu hapa.
 
Hapa pagumu ingawa pia panaweza kuwa rahisi,Kuna mtu alinambia kuwa ukimpa mtu zawadi, basi mwangalie directly kwenye macho yake anapoipokea. Hakika kama imemkuna utamjua tu kwa sababu huwa macho hayasemi uongo!Huyo jamaa amejipatia excuse rahisi na naamini ataendelea kuitumia hadi atakapoamua....Kwa sasa bado inalipa kuendelea kuitumua huku anavuta muda!!
 
The great part kuhusi hilo ni walau S/he is telling you the truth na NO empty promises, sema tu watu twapenda jisikia we are the center ya maisha ya mtu alo mpenzi wako; hoping akuambie maneno kama "bila wewe hawezi ishi...." hata kama sio kweli...
 
Si hivo Alter, Hapa tunaongelea couple imesha kwaa kwa muda na mmoja anaona it is time to move to the next level, mwenzie anamwambia hawezi kurupukia mahusiano ya kudumu. Unaona hapo?
 
NI vizuri kwa huyo mtu kuwa wazi; ila kusema ukweli, that's unusual. Ni maneno ya kikatili sana kutoka kwenye kinywa cha umpendaye, wengi wanaojali feelings za wawapendao wanayaongea hayo kimoyo moyo; sasa huyo anayetamka live bila ya chenga, mmh ni mkatili.

My take aloambiwa hayo maneno anapaswa afanye maamuzi magumu maana hiyo ni sawa na kuambiwa "am just pasting time with you while searching for the right candidate". Ashukuru Mungu kuambiwa ukweli maana ni wachache sana wana guts za kutamka hayo maneno.

Kuwa hurt in the past si excuse kwani 99% ya wapenzi wamesha experience deceit na bado maisha yanaendelea. Huyo hajapata ampendaye.
 
tumblr_lnutpfqDDI1qaobbko1_500.jpg

:A S-coffee:...kama chungwa vile, ukishalimenya huwezi lirudishia maganda!
 
Back
Top Bottom