Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa. Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya...
13 Reactions
191 Replies
16K Views
Katika pilika zetu wanaume, huwa tunajaribu bahati zetu kwa wa dada mbalimbali. Wengi kama siyo wote hukataa siku ya kwanza unapoingiza gia yako. Baadhi katika kukataa hutoa majibu ya upole na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Eti jamani what does it take to find da lost love je ni: Destiny, Money or Lucky
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hivi jamani maana halisi ya neno kuhonga ni nini..? na je kuhonga kunasaidia kuongeza mapenzi au ni ingredient muhimu kwenye love jamani...?
0 Reactions
108 Replies
12K Views
kwa kweli naboreka sana na mwanamke anaeongea saaana....kila kitu atataka aongee wakati mwingine pumba! sijui niiwekeje nieleweke nataka kumzungumzia mwanamke wakati gani ila kuna wanawake...
2 Reactions
96 Replies
7K Views
wANA MMU, Saudi Arabia law makers wanasema hawawezi kuruhusu wanawake kuendesha magari sababu wakiruhusiwa wataharibu bikira. jamani hivi kuna uhusiano gani kati ya kuendesha na preservation ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
wakuu nimetupiwa kichanga nyumbani na kuambiwa ni cha kwangu lakini cha kushangaza ni kuwa toka nikutane na mama yake na tar alizozaliwa ni miezi 12 au 13. pamoja na sifa kibao kuwa nimefanana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni wiki chache zimepita tangu nihamie kwenye kibanda chungu nilichojenga nje ya mji. Kwa sababu ya umbali wa ninakokaa na foleni za magari, inanilazimu kuondoka nyumbani kumi na mbili kasoro...
0 Reactions
140 Replies
11K Views
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana...
3 Reactions
78 Replies
10K Views
nahtaji msichana vigezo awe mrembo anaish tanzania tabia A+ usafi A+na mapenz kutoka moyoni. Email steveedward95@yahoo.com
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
nmepita 2 hku leo ila naomba ushauri kwa wana Jf. Kuna msichna nlitokea kumpenda toka mara ya kwanza kupata kukutana nae {2005}, ila 2kaja kupotezana nae had nmekuja kuonana nae tena hivi karbuni...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Hivi msichana kuwa na marafiki wa kiume wengi,ni ufahari au ni nini!,i don't get it.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hi
luking 4 friends2chart 0755030957
0 Reactions
2 Replies
946 Views
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nadhani baadhi yetu kama sio wengi tunajua nguvu ya neno asante na umuhimu wa kushukuru pale mtu/watu wengine wanapokua wamejituma, jitolea kwaajili yetu.Kwa kushukuru mtu anapokuwia mkarimu...
10 Reactions
106 Replies
9K Views
ndugu wanajf ni jana tu nimepost mawazo ya mwanaume aliyokuja anyasema kwangu kwa kuomba ushauri nashukuru kwa waliochangia. Sasa kikubwa zaidi leo hii hasubui mwanamke wa yule jamaa nimekutana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ni juzi hata mwezi haujaisha nakutana tena na mdogo wangu/rafiki yangu ambae wakati nipo A level yeye alikua Olevel,,,yupo chuo kikuu fulani na amekosa acomodation...anatafuta chumba mtaani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom