Wakati nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa kuna kituko kimewahi kunitokea nimekikumbuka sana leo.
Kuna binti mmoja amewahi kutangaza ana mimba yangu wakati hata kusalimiana naye sikuwahi. Halafu...
Ndg zangu WanaJF! Hili nimependa niwajuze tu! Yule Mmasai aliyekuwa anatangaza bia ya kampuni ya TBL kwa kutoa advertise ya kukimbia na kutaka kuruka mto na kudondosha kizibo cha bia ya safari...
Ni ukweli usiopingika kwamba wanaume sio waaminifu ktk mapenzi ukilinganisha na wanawake! Ktk utafiti niliofanya nimegundua kuwa asilimia 80 ya wanaume sio waaminifu ukilinganisha na asilimia 20...
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna...
Wana JF habari...
Kitu cha ajabu kimenipata nimeona niweke hadharani, nina rafiki yangu kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasiliana, lakini baadaye nikamwambia ukweli jinsi ninavyomzimia...
....ushauri wandugu...maana huu utamaduni unaonifanyisha nifikirie kwa lugha ya kigeni karibu naadhirika ugenini...
nimeletewa zawadi na mlimbwende (namshukuru mungu sina wa kuniuliza nimepewa...
habari za leo ndugu zangu...kuna bf wangu ambaye tulianza urafiki zaidi ya miaka kama 2 na nusu iliyopita, japo tulijuana kwani tulisoma primary pamoja lakini hatukua na uhusiano wowote ule. kwa...
ebwana wee siku hizi naona kwamba most ladies ukiwagusa wanakwambia kuwa ana bf au just from a relationship. sasa wewe kama ndio unaingia kwenye mahusiano ulishawahi kujiuliza uhusano wa mwhisho...
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna...
When you fall in love, it is a temporary madness. It erupts like an earthquake,
and then it subsides. And when it subsides, you have to make a decision.
You have to work out whether your roots...
jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije...
Yeep JF...Christmass is here again.....
Haijalishi upo mabondeni,kijijini au shimoni................we have to celebrate it!!
Christmass ni special kwa sababu tumerithi utamaduni huo wa...
"Atamwacha baba na mamaye ataambatana na mumewe" ndani kabisa ya moyo wa mwnamke kuna ndoto ya kuchukuliwa na mwanaume mtanashati na mwenye kummiliki, vile vile maisha ya mwanamke mtawala...
KUNA mdau kanitumia hii, isome, ni kweli?Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu (do not last longer or is something temporary). Ni kwa sababu ya mapenzi (?) leo upo na uliyenaye na unajihisi...
Kama ilivyo kwa watanzania wengine hususani wakazi wa dar, huyu mwanajf mwenzetu ni mmoja wa waathirika wa mafuriko ya usiku wa kuamkia leo ktk makazi yake huko Tabata. Matatizo ni sehemu ya...
katika ukweli kila binadamu yupo hapa duniani kwa kazi maarumu inashangaza watu wanajadili ndoa nyingi siku hizi zina vujika sababu kama nilivyo anza siwote wanawito wakuoa au kuolewa tatizo...