wachaga wa Uru

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Heshma kwenu woote na Merry xmass to u
Nimekaa mahali na makabila mchanganyiko tunapata mambo yetu yalee...
Tuna wachaga pia hapa wakiwemo wa Uru

Huyu mchaga wa Uru imemuwia vigumu sana kutaja kule anapotoka I mean Uru..na sio mara ya kwanza..ilishatokea tena kwa wchaga wengine wa hukohuko huru kulitaja ilo eneo..ninalazimika kuuliza ni kwa nnwachaga wa Uru mnaogopa kujitaja mnapotokea!!?
Au ni sababu ya kihistoria ya ile sanamu pale YMCA?plz have confidence jamani...be proud of urplace of origin...nawakilisha
 
Hao waliokataa kutambulisha kwao wapo?Unawajua?

Yes nawajua na nilishawahi kuishi nao nyumba moja,na kwa masikio yangu nikawasikia wakisema "mi mtu akiniuliza kwetu ni wapi nasema old moshi sisemi ni Uru"!
 
Yes nawajua na nilishawahi kuishi nao nyumba moja,na kwa masikio yangu nikawasikia wakisema "mi mtu akiniuliza kwetu ni wapi nasema old moshi sisemi ni Uru"!

kwann sasa?
 
kwani uru kuna nini?
Nataka kumla m-uru mmoja ana duka mwenge
wasije kuwa wanatagisha watu mayai kama kuku
naogopa kulalia mayai

Yes nawajua na nilishawahi kuishi nao nyumba moja,na kwa masikio yangu nikawasikia wakisema "mi mtu akiniuliza kwetu ni wapi nasema old moshi sisemi ni Uru"!
 
napita tu wakuu,nipo kishumundu napiga ndizi ubwabwa na mbege,karibuni........
 
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio
 
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio

afadhali umwambie huyo.nani kamwambia kuwa sisi wauru hatujiweki hadharani? Mimi binafsi sijawahi kudanganya ninapotoka.am proud of my home!mi pia natokea uru kitandu shinga!!!afu umenichekesha kweli,kuna mwalimu wangu m1 alikua anafundisha shule ya msingi tulikua tunamtania ngoromiko.ha ha
 
Afu uru sio kishumundu tu!kuna uru kishumundu,uru msuni,uru njari,uru mrawi,uru mawela,uru shimbwe,uru kitandu na nyingine kibao! Kwahiyo aliyeanzisha hii topic alijue hilo.
 
kiruuuuu!!...ni nani kasema hatujikubali?!!!!....haya sasa,kwa maandishi makubwa "MIMI NI MUURU - Tena wa Mrawi Shinga"..kuumbaff, we unayetusema wauru hatujikubali bichwa lako, domo mkubwa ka trekta la mzee kyanjai,kite kya warumu,malaaaacotton!
 
Wauru acheni hasira na matusi naskia wasomi waliobobea huko uchagani .maprof, madr, wanatoka uru Mko juu.
 
Back
Top Bottom