Mke material ni yupi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke material ni yupi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by asakuta same, Dec 23, 2011.

 1. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa.
  hivi huyu mke material ni mke wa aina gani?
  anapatikana vp , je tunazingatia past ,present au future kudetermine?
  utamjuaje kuwa huyu uliyenaye ni mke material?
  je ni kweli wanaume tunaoa mke material au huwa tunaamua kujilipua tu linapokuja suala la kuoa?
   
 2. mandella

  mandella JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,635
  Trophy Points: 280
  70% awe mzuri wa nje , 20% tabia nzuri ! 10% mtazitafuta wawili kwa njia zote !! Dat material wife !
   
 3. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  aksante ,hapo kwenye tabia nzuri utazipimaje? kuna watu wanasura za upole na muonekano wa heshima na heshima zingine ila wanagawa sana.
   
 4. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama mm ivv.
   
 5. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  ww ndo upoje sasa?
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  utamujua tuu jinsi anavyo jibeba na jinsi anavyo watreat wazazi na wattu wengine...je anawweza ku sacrifice na kujituma?? vitu kama hivyo
   
 7. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ni yule ambaye anajua unataka nini na kwa wakati gani....anayekuheshimu na kujali hisia zako, kwa upande mwingine ni mvumilivu na mwenye kupenda nguduzo....
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tafuta ka-bint ka-Kipare au kimachame kanaweza kakakufundisha mke material ni yupi.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hapa nimetoka kapa kabisaaaaa!
   
 10. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kwamfano km anahizo sifa zote ulizozitaja hapo juu ,lkn kabla ya kukutana na ww alikuwa anagawa uroda km pipi ,vp bado atakuwa na sifa za kuwa mke material?
   
 11. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu hicho ni kifupisho cha ndugu zako, wazenjibari wanajua vizuri hii lugha!!! maana mke akupendaye wewe tu si mke... yakakiwa akipenda boga apende na uwa lake kaka....
   
 12. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wapo wengi tu humu ndani ma wife material kina Asha dii, Smile, Feisbuku, Husninyo, Lizzy, Mwali, Gaga, Afrodenzi...
   
 13. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  umejuaje mkuu na nini ni sifa zao?
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Alietulia na asie na makeke/mapepe.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kitambo ndio ilikua inazingatiwa saana sifa za mwanamke wa kuoa, vikiangaliwa vitu kama tabia.... Familia aliotoka pamoja na tabia ya hio familia na ukoo mzima... Kabila na mmengine meeengi. Siku hizi watu wanaoana out of mazoea... Inafanya hilo neno material wife kidogo libadilike.... For huwezi wewe mwanaume una tabia za ovyoooo saaaaana na ukataka mwanamke alotakasika (as in mwenye tabia njema in each of her sphere)....

  Kwa mkadha huo, Naweza sema material wife ni yule mwanamke ambae umempenda... Mkaendana tabia, mkasomana na kuelewana your weaknesses na jinsi ya ku-handle one another.. No matter jamii inasemaje juu ya ndoa yenu; kikubwa muwe mmeridhia.... Nakupa mfano kuna ndoa zingine Mke kiruka njia, mume chovya chovya... Wooote wanywa pombe na woote once in a while waweza lala hata bar... Kila mmoja asijue mwenzie yukwapi (somethimes) But pale inapo matter.... Kuishi ndani, unyumba, watoto, they are compactable na kila mmoja amuona mwenzie wa kawaida.... Hapo that wife is a perfect material wife to the hubby for they have an understanding....
   
 16. M

  Malova JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kwanza inabidi ujue wanaume wengi tunatawaliwa na macho ktk mambo ya mapenzi. hivi kila mwanaume anavyo vipaombele vyake kadiri macho yake yanavyomwonesha. mwingine akiona makailo mabubwa basi ndio hapo, mwingine akiona mwanamke mwembamba nae atasema chake, mwingine akiona cheupe, basi nae atafia hapo, mwingine akiona kimesoma kidogo nae anabebana nae. Lakini kadiri yangu mimi kwanza tabia, pili upendo si kwangu tu hata kama mimi sipo basi wale atakao kuwa nao aishi nao vizuri. tatu mshiriki mzuri yaani penye uzuri achangie na penye ubaya akemee, nne awe anatoa mawzo ya maendeleo au awe anajishughulisha kujikwamua kimaisha, n.k. hayo ni machache tu lakini kuna mengine mengi.
   
 17. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  thnks at least now am getting somewhere kwakweli na pia i hv seen sniper n el toro ww ni mmojawapo wa wife material humu jf.
  kuna swali napenda kuuliza ,kwamfano mmependana na mnaendana mambo mengi ila mwenzako kakuambia past yake yote kama confession na anahidi ataacha tabia flani flani ,je km mwanamke alikuwa ni malaya hapo zamani anaweza kuacha kweli from experience yako na mashostito wako?
   
 18. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  thnks mkuu maneno yako ni mazito sana na yanajenga inabidi nizingatie japo kupata kiumbe mwny hizo sifa zote hapo ni shughuli pevu kwny hii jamii yetu.
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kwanza nikimbilie kusema kuna tofauti kutafuta wife material hapa jamvini na mtaani.... I am not perfect, na ku determine kua mimi ni wife material moja ya kigezo kikubwa ni kuonana na mimi ukanisoma. Hapa jamvini watu twajitune vovote utakavo ili labda uonekane ni mtakatifu..... Ni kweli kua nafurahia nikimwagiwa sifa... Ila sikushauri kua ukatafuta mchumba kwa mtindo huu, ndio waweza mpata jamvini but take time kumsoma as a person who is real rather than kupitia maneno....

  Nikurudi katika hilo swali lako... Usipende saana kujua yalo pita ya mpenzio... Maisha yamebadilika saana na watu hufanya mambo mengi ambayo baadae hujutia... BUT kukumbuka kua kujutia kwake haina maana kua jamii ambayo ililkua inamfahamu kabla wamemsamehe na kusahau.... Ni kweli yapo ambayo ni past na yatakiwa mpenzio ajue but most it is better to keep them burried... For they are not good for the health of the relationship to be brought up.....

  Upande wa mtua alowahi kua malaya... It depends alikua malaya kwa ajili gani? Je ni shida mbali mbali za maisha ndo zilimfanya hivo? Je ni tamaa zake ambazo anazo wa mambao ya hali ya juu inje ya uwezo wake ndo vimemfanya awe malaya? Je anapenda saana ngona hawez ridhika na mwanaume mmoja? Ukijua hapo then you will know kua aweza acha ama Lah! Take note: mwanamke mwenye tamaa daima habadiliki kuacha tamaa... Mwanamke anaependa ngono hawezi tosheka na mwanaume mmoja no matter what.... I hope umenielewa.

  Kikubwa elewa haya ni mawazo yangu sio absolute!
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kila mwanaume anatamani awe na familia na uwezo wa kuitunza hiyo familia. Mwanamke material ni yule ukimwoa uwezo wako wa kujitegemea unaongezeka badala ya kupungua; kuna wengine ukioa hata vile ulivyojilimbikizia ukiwa "single" vitayeyuka kwa matumizi ya ajabu ajabu. Ndio maana wanaume wanaoona mbele amwangilii msichana kwa kuangalia uwezo wa wazazi wake bali nini utakuwa mchango wake kwenye pato la familia mfano mwenye kazi, au shughuli za ujasiria mali kama kushona nguo, kutengeneza batiki, saloon nk.

   
Loading...