Ushauri,,,,,,

Atakuwa ametia akilini kwa sasa!
Kama vipi mcheki na M-Pesa 50 bucks bila maneno mengi, mwambie POLE tu, mwenyewe utashangaa jinsi atakavyobadilika kwenye comm skills!
 
Msaidie kama unamoyo wakusaidia,na hata akitaka mapenzi kwasababu umemsaidia usikubali kwani pesa utakayo toa sio thamani ya wewe kumnunua mpe kama unamsaidia kama kweli unayo nia....
 
Heri ya x mass wakuu.

Mimi nilikuwa na mpenzi maeneo ya Kigogo Dar,lakini kutokana na umbali na mawasiliano mabovu [yeye ndiye aliyenionyesha kutokuwa interested na kuwasiliana na mimi maana nilimpigia sana simu lakini hata msg hakuandika]niliacha kuwasiliana naye miezi kadhaa iliyopita.

Nina uhakika hali yake kiuchumi si nzuri.Kutokana na mafuriko kutokea Dar nina wasiwasi huenda amepata shida,

Ninafikiria kuwasiliana naye tena na bila shaka itanitoka pesa.Je,wakuu hili halitanifanya kuenedelea kuumia zaidi?
Nimsaidie au nimwache aendelee kutaabika?
Plz nishaurini nipo njiapanda

tenda wema nenda zako........................usisubiri shukrani ingawaje hisia zako kuwa hana msaada zaweza kuwa siyo sahihi............nia uhakika hayuko pekee yake na ndiyo maana hakukuthamini...........
 
Kweli msaidie kama unaweza
hata akitaka kurudi usikubali
atakutesa baadae maana ahakufeel for real
 
Huo msaada c upelekee watoto yatima mkuu?

jaman hata yy una mfaa ni muhanga wa mafuriko pia amekir atakuwa financially unstable.
msaidie 2 mwaya, tenda wema nenda zako, usiexpect lolote kutoka kwake.
mary x mass.
 
wakati huu ana matatizo msaidie kama unavyosaidia wengine. Mjulie hali kuhakikisha amesurvive. Kumbuka akufaae kwa dhiki ndio rafiki
 
Heri ya x mass wakuu.

Mimi nilikuwa na mpenzi maeneo ya Kigogo Dar,lakini kutokana na umbali na mawasiliano mabovu [yeye ndiye aliyenionyesha kutokuwa interested na kuwasiliana na mimi maana nilimpigia sana simu lakini hata msg hakuandika]niliacha kuwasiliana naye miezi kadhaa iliyopita.

Nina uhakika hali yake kiuchumi si nzuri.Kutokana na mafuriko kutokea Dar nina wasiwasi huenda amepata shida,

Ninafikiria kuwasiliana naye tena na bila shaka itanitoka pesa.Je,wakuu hili halitanifanya kuenedelea kuumia zaidi?
Nimsaidie au nimwache aendelee kutaabika?
Plz nishaurini nipo njiapanda
Mbali ya wapi,mkoa au nchi,kaka? Kama upo dar popote pale si mbali na kigogo,HILO MOJA.pili unaishi kwa hisia? kwa nini uhisi amepigika wakati mwenyewe ulishasema kuwa hajibu wala kupokea simu.Kama amelipata lijamaa liko fresh,si unajua watoto wa dar! Tatu,nashauri cheki naye sijui kwa njia gani,mana umesema simu hapokei wala sms hajibu au tumia jamaa yako wa karibu kujua anaendeleaje au tia timu mwenyewe maskani kwake kwani najua ni msimu wa likizo huu.Asante!
 
tenda wema usingoje shukrani kwa shukrani ya punda ni mateke..x2

mkuu kama vipi jifanye slaa utoe tamko la kumtoa ili ajihifadhi kwa hadha iliyompata na je kama ni mmoja kati ya wale 31..
 
wee kijana ebu wema nao usizidi....wewe kwanza kulingana na statement yako una assume kuwa hayupo sawa.
sasa unaweza jipeleka kichwa kichwa mwenzio akachukulia kuwa umemdharau......alafu ya nini kujipeleka ambako hutakiwi bana. potezea nenda kajali wengine
 
Sina mazoea ya kisasi ,Hatukugombana isipokuwa nilihisi najipenedekeza nikapotea tu.

ooh! Inawezekana hisia zako zimekutuma vibaya. Ungeongea nae kujua tatizo ni nini. Hlf kujipendekeza kwa mpenzi wako mbona shwari tu. Ndio mapenzi yenyewe hayo.lol
 
Heri ya x mass wakuu.

Mimi nilikuwa na mpenzi maeneo ya Kigogo Dar,lakini kutokana na umbali na mawasiliano mabovu [yeye ndiye aliyenionyesha kutokuwa interested na kuwasiliana na mimi maana nilimpigia sana simu lakini hata msg hakuandika]niliacha kuwasiliana naye miezi kadhaa iliyopita.

Nina uhakika hali yake kiuchumi si nzuri.Kutokana na mafuriko kutokea Dar nina wasiwasi huenda amepata shida,

Ninafikiria kuwasiliana naye tena na bila shaka itanitoka pesa.Je,wakuu hili halitanifanya kuenedelea kuumia zaidi?
Nimsaidie au nimwache aendelee kutaabika?
Plz nishaurini nipo njiapanda

Mtafute kwanza ujue hali yake...pengine ni mmoja kati ya waliofariki huwezi jua. Ukimkuta hai, bukheri wa afya then fanya vile moyo wako unakutuma...then ondoka wala usisubirie malipo.# Huo ndio utu na wema.
 
Kwani kakuomba msaada?pengine kunanjemba anatoa msaada angalia mambo mengine kama unamsaada wowote wa wahanga wasilisha kwa mkuu wa mkoa utafika.
 
Mbali ya wapi,mkoa au nchi,kaka? Kama upo dar popote pale si mbali na kigogo,HILO MOJA.pili unaishi kwa hisia? kwa nini uhisi amepigika wakati mwenyewe ulishasema kuwa hajibu wala kupokea simu.Kama amelipata lijamaa liko fresh,si unajua watoto wa dar! Tatu,nashauri cheki naye sijui kwa njia gani,mana umesema simu hapokei wala sms hajibu au tumia jamaa yako wa karibu kujua anaendeleaje au tia timu mwenyewe maskani kwake kwani najua ni msimu wa likizo huu.Asante!

Mkuu nipo nje ya nchi,

Nitamcheki tu simu anapokea,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom