Mapendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkayah, Dec 25, 2011.

 1. M

  Mkayah Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti gani kati ya NGONO na MAPENZI?
   
 2. M

  Mkayah Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti NGONO ni kama kubakana vile yaani pupa, bila utaratibu na MAPENZI kutomasana hadi kuchuruzana!
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh tafuta dictionary mkuu utapata majibu mazuriiiiiiiiiii kwa mimi mh
  napita tu
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu ilo swali du!
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Aisee maswali ya kufungia mwaka huwa magumu sana!
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe?
   
 7. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wengine hueleweshwa kwa njia hii;
  'mapenzi yanaweza kuwepo bila ngono eg. Mama na mwana; pia ngono inaweza kuwepo bila mapenzi eg, kununua changudoa. Lakini pia mapenzi na ngono vyaweza kuwepo simulteniously. Eg, Mme na mke' ni mtazamo.
   
 8. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ngono ni tendo la kujamiana! (kuingiza uume ndani ya uke) LAKINI; Mapenzi, ni mvuto na shauku ya ndani juu ya kupenda mtu fulani au kitu. Neno mapenzi halina maana ya kufanya ngono bali ni maana hasi iliyotengenezwa na watu kutokana na hali hyo kuelekezwa kwa jinsia tofauti kwa kusudi la kutaka uhusiano wa kingono! Ova.
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pia ngono ni kwa mtu hovyo hovyo tu
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kuna kufanya mapenzi
  kuna kufanya ngono
  na kuna kujaamiana....
   
 11. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mmmh... Ngono ni kitendo cha kujamiiana wakati Mapenzi yanahusisha hisia kutoka moyoni..
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh zinatkfautiana kwa kufanya yan inafanya nan
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Itendee haki xmas yako, nasisitiza tu!!
   
 14. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nashauri ulale. 'Ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana'
   
 15. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ngono inanunuliwa mapenzi hayanunuliwi.
   
 16. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  :eyebrows:.....Nakubaliana na wewe!
   
Loading...