Funga mwaka special thread! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Funga mwaka special thread!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fundifundisho, Dec 30, 2011.

 1. F

  Fundifundisho Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwaka ndo huo unaisha,
  mapenzi yamekufanyia nini?
  1.umeumizwa mara ngapi?
  2.Umetumia sh ngapi kuhonga na kuwanunulia zawadi mademu,
  3.umetumia sh ngapi kila ulipotoka out na demu sometime demu huja na rafiki zake,
  4.umetumia sh ngapi kununua vocha ili umpigie demu na wakati mwingine kumtumia vocha,
  5.umetumia sh ngapi kupendezesha demu huku ukijua kuna watu wanakumegea!
  6.umetumia sh ngapi kama nauli ili kumfuata demu au yeye kuja kwako,
  7.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu,
  8.umetumia sh ngapi kuwatolea mimba mademu ambao hukutaka kuzaa nao,
  9.umetumia sh ngapi kuwalipa makuwadi,
  Angalia viwalo vyako ni vikuukuu,
  kula kwako kwa taabu na kodi unalipa kwa mbinde!
  Jipange upya mwakani usirudie makosa..,happy new year!
   
 2. b

  bonafide. Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp kuhusu ww mwenyew,heb tuanikie evaluation yako kwa hay uloyataja thn zetu zp njiani mana bd wengn hatujanza kukalukuleti hzo mambo.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mfumo jike huo.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hv Demu maana yake ni nini vile?
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hata mimi sikumbuki sana, ila something like a cheap thing , to be used when needed and then dumped.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii naona inawahusu zaidi wakaka........
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huu ni ubaguzi, kuna wengine wanahongwa na totoz,hao itakuwaje sasa, au waandike mapato yao?
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  Mwalimu wangu wa Agriculture O-level aliniambia ni Ng'ombe jike
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kumbe asante hapa sina mchango
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Asante nimeelewa sasa
   
 11. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naumaliza mwaka kwa bahati ya kupata totoz inayonijali na mwaminifu.
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yamenifanyia mambo makubwa mnoooo na ya ajabu mnoooooooooooooo thanx JESUS!
  i found the right man ..........2011 year to remember
   
 13. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pamoja sana man.........stay blessed and loved 4reva
   
 14. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wacha we!
   
 15. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Inaukwel ndan yake mana usipime ni kaz si mchezo lazma kunamoja ya mambo kama mwanaume utakuwa umefanya kwny haya
   
Loading...