Uhusiano wa moyo na kupenda, kuumia, kudanganya na mengine yanayofanana na hayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa moyo na kupenda, kuumia, kudanganya na mengine yanayofanana na hayo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Dec 29, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump damu safi kwenda sehemu mbali mbali za mwili, pia damu chafu kuifanya ikasafishwe kwenye kibofu, ini na mapafu...moyo hufanya hayo yote..nimekaa nimefikiri na nimeshindwa kujua uhusiano kati ya moyo na kupenda, moyo na kutamani, moyo na hisia, moyo na kuumia, moyo na kuridhika>>wengine wakatuimbia>ukweli wa moyo utaujua ukipenda>>, tuache kufikiri kwa mazoea, tuambiane huhusika wa moyo katika haya mambo ambayo ubongo/akili ndiyo inayohusika
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hivi nini sababu za moyo kubebeshwa kazi zote hizi?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ulitaka waseme ubongo?

  Hata kwenye biology kazi ya ubongo ni medular oblongata.

  Mie naona waliamua tu kuhusisha hisia na moyo. Lakini kama ulishawahi umia kikweli unasikia maumivu kifuani hasa upande wa kushoto.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ngoja nifatilie nijue ni nani alianzisha hii kitu, wengi tunaenda tu.
   
Loading...