assalam alheikum wanaume wote waliotoka nje ya ndoa mwaka mzima bila ya kufumaniwa

Wa Alykum salaaam.

Sa mzee kwani ilikuwa aje mpaa ukaja salimia ki uislam? Yani wale waislam ndo wanatoka nje ya ndoa?

Mimi najua wanao toka nje ya ndoa hawana dini...Sii waislamu wala si wakristo....

Next time kabla hujaibuka na topic kama hii hapa...Fikiria una-andiika nini mana unaweza kuwasha moto hapa JF.

Peace.
 
Wa Alykum salaaam.We

wewe umetoka kibada ee?hiyo si salamu tu
 
Dogo wacha kujifanya unajua sana-wewe rekebisha makosa yako-next time usitumie Asalam alykum wakati unaleta uhuni wako...

Haya siku njema haina haja ya ugomvi hapa.
 
Waleikum Msalaam Kim Pdidy; hongera sana kwa uvinjari mwaka mzima bila kufumaniwa. Mwaka ujao uwe makini zaidi ila punguza matumizi nyumba ndogo mwakani Pdidy mdogo si anaanza pre-school..lol...angalia mambo ya ada usije leta maombi ya mkopo SACCOS
 
Dogo wacha kujifanya unajua sana-wewe rekebisha makosa yako-next time usitumie Asalam alykum wakati unaleta uhuni wako...

Haya siku njema haina haja ya ugomvi hapa.

We unaumwa eee?kwani mimi ndo nimeazisha hiyo mada
 
naona nyumba ndogo zinasali na kusali tar 31 mvua imwagike watu waishie kulala lodge kisa madaraja yamevunjika
nanyi nawapa asslaaam alheikhum maana tmi bado wamengangania inanyesha mpaka jan 2 ,maana mwakampya akuna mwanammke mwenye mume atakaemwachia mumewe aishie na mwenzake fanya yooooote mwisho wa mwaka awakuachi hilo ulijue we mzee wa nyumba ndogo jan 1 lazima uamke na ya nyumbani
 
Mkuu na sisi hatujaoa tupo kwenye mahusiano,lakini tumechepuka kidogo nje? Hunatupa nini kaka?
 
wazinzi nao nawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapa aslaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam alheeeeeeeeeeeikhum maaaaaaaaaana mwakani ndoa kwao inaendeleeeeeeeeea akubaki jina nawe juu nakupa asaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalahaaaaaaaaam aleikhuuuuuuuuuuuuummmmmmmmm
 
na wewe nakupa assalam alheikum

Shhh! Hebu tulia! Usione niko kimya naongea na Mungu kumbembeleza akusamehe ili upenye hadi januari ila inakuwa ngumu! Madhambi yako yamejaa tele! Sijui itakuwaje!
 
Mkuu we umejiombea? Sir God kasemaje kuhusu wew! Ha ha ha haaaa!!!
 
na wewwwewwwwwwwwww uliosoma ukaogopa kujibu ukihisi nimekuona kwenye a/c za sinza nawe nakupa asaaaaaalhhhhaaaaaaaaaaam alheikhum natumaini tanesco wataongeza bei mwakani umeme kama walivyotuhaidi ili bei za vyumba ziongezeke ubaki kutembea na mkeo milele
 
unaogopa kutaja jina la guest unaibatiza bar
sema tu sukuma hapa pale mapambano mpwa awaji ni wachache wenye kuvumilia shuka chafu kama zile
 
Shekh,asalam aleykum ni salam ya kiarabu meanz aman iwe juu yenu,
Wa Alykum salaaam.

Sa mzee kwani ilikuwa aje mpaa ukaja salimia ki uislam? Yani wale waislam ndo wanatoka nje ya ndoa?

Mimi najua wanao toka nje ya ndoa hawana dini...Sii waislamu wala si wakristo....

Next time kabla hujaibuka na topic kama hii hapa...Fikiria una-andiika nini mana unaweza kuwasha moto hapa JF.

Peace.
 
Shekh,asalam aleykum ni salam ya kiarabu meanz aman iwe juu yenu,

majabiri umeoooooooooonaaaaaaaa haya ndio madhara ya kuita chumba chuooooo we uko na mwaka mmoja uansoma chuo mmmmhhh!!napita
 
Dogo wacha kujifanya unajua sana-wewe rekebisha makosa yako-next time usitumie Asalam alykum wakati unaleta uhuni wako...

Haya siku njema haina haja ya ugomvi hapa.

ningekuwa karibu ningeuchapa hata na vaistroooooooooo kamoja ndio nikusamehe mwanangu maana umedansiambele simbele nyuma si
 
Back
Top Bottom