Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dazipozi, Jan 28, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana I hope kuna baadhi yetu tunawapenzi na wachumba hata wake piya mnao hata wanaume zenu japo wengi wana Jf wameweka wako Singre..leo nataka tuongee kitu kimoja..Wapendanao wengi hukerwa na rangi za ndani za wapendwa wao but huwa wanashindwa kuwaambia aina ya rangi ambazo wangependa zivaliwe na Wapenzi wao..vipi wewe wakwako unajua rangi uipendayo?..na wewe wajua apendayo?..hebu funguka basi rangi hiyo...ma side na penda Mpenzi wangu akivaa chupi ya rangi ya Pink na Nyeupe...rangi hizo nazipenda sana...Mx
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nyeupe utamfulia?
  Au unapenda zinavyong'aa tu bila kujua zinahitaji usafi wa hali ya juu?
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dazi pozi nakusamlimu..... Naamini ni mzima wa afya.....

  Sioni kama ina matter saana wanaume rangi za vyupi wanazovaa, bali zaidi kwa wanawake, nadhani (from assumption) wanaume wengi wanapenda wapenzi wao wavae vyupi za rangi ambazo ni light... Nyeupe, pink, beige, na the like (but ziwe really really light); Hii ni moja ya viashiria vya usafi wa maeneo ya nyeti ya sie wa mama.... Hivo naamini inaweza msaidia kumpa idea na confidence mwanaume the extent ya usafi ya maeneo husika (hasa kama anataka kuzama chumvini)..... Walau that is my thot....
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi sidhani mwanaume ambaye ana akili zake kamili anajali mwanamke amevaa chupi rangi gani.

  Inabidi tuwape pole wanaume wenye mawazo kama hayo, yakuchunguza rangi za chupi :biggrin:
   
 5. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hahahaha najua zako Nyeusi..tena nikwambie napenda kuzifuwa mwenyewe..tukimaliza Sex,Mx
   
 6. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Me mzima Da Asha,nimekusoma vzr sana.mimi ni mmoja ya vijana wanaopenda kwenda chuvini sana..ila kama eneohusika liko safi na salama tena wanawake wanaojua kuisafisha K zao..Mx
   
 7. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya Fazaa,Mx
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Dah! Fazaaaaaa.....
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera.
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Aghghhhhhhhh nyeusi na nyekundi sizipendi natamani hata viwanda visitishe kutengeneza.Wangu nilisha mpiga marufuku siku nyingi
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mia napenda sana avae yenye mchanganyiko wa wangi za bendera ya taifa.
  Afu belt lake liwe blood red.
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  wakwangu mi napenda avae pensi tena yale mapensi makubwa
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usikasirike lakini, mimi napenda kusema ukweli.
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Dogo chumvi itakuozesha meno oh oh fanya mchezo na kule
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hili jukwaa halinifai ngoja nisepe zangu.
   
 16. y

  yngajilo008 New Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Chupu ni chupi tu, pointi ya msingi ni usafi kwa mwanamke na mwanaume
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Inaelekea wewe chupi zako zote ni black.
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukweli ndo huo, mana wanaume tunapishana wengine wanabaki kutazama chupi wanasahau wanacho kitaka, na wengine wanakimbilia wanacho kitaka sa ngapi watakuwa na time ya kutazama chupi.

  Mimi nikifikaga kuleee huwa kama sina akili, mpaa nione kile ndani ya chup,i saa unadhnai na time ya kutazama rangi ya chupi!!

  Na nina uhakika wanaume wengi wako kama mim hawana time na chupi, wao wana time na kilicho fichwa na chupii :biggrin:
   
 19. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sema ww ujasema mpenzi wako anapenda chupi ya rangi gani?Mx
   
 20. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe kama mimi,Mx
   
Loading...