Kipi bora kupenda au kupendwa?

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Ni mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa "mwanamke akipenda huwa kapenda kweli". Je, wanaume tusubiri kupendwa ili tuepuke kuumia au tuendelee kupenda na tukubaliane na hali halisi iliyopo (maumivu)?
 
....IMHO Both are very important.

 
Last edited by a moderator:
Hapa hata sielewi ila mtu akiwa anakupenda halafu wewe humpendi ni maumivu vilevile.
 
Kupenda mahali ambapo nawe pia utapendwa na kupendwa na mtu ambaye wewe pia utampenda mahala hapo patakuwa sahihi sana ila ukipenda usipopenda utakuwa unalazimisha na mwisho wa siku utalizwa tu.
 
majibu yote mawili a) kupenda na b) kupendwa ni sawa; neither is better than the other although they are supposed to be complementary
 
Raha ipo kwenye kupenda na kupendwa. . . that way kila mmoja anamfurahia mwenzake.
 
hivi haya mambo ya kupenda au kupendwa hivi yapo kweli siku hz au mnazungumzia tamthilia hapa...
 
Kw kuanzia ni heri upendwe kwani with time nawe unaweza ukajifunza kumpenda akupendae hala mkajikuta wote mnapendana
 
Kipi bora KULA au KUSHIBA ?
Hutopata jibu mpaka unaota mvi hadi kwenye kope!.
Hapawezekani ujue utamu wa KUPENDWA na usiujue utamu wa KUPENDA.
Hapo hakuna jibu sahihi.
 
unaweza penda nausipendwe ukapata ugonjwa wa moyo....hivi vitu vinaenda pamoja
 
Kupenda ni raha if and only if unapendwa

vinginevyo ni kaa la moto kifuani.
 
Kw kuanzia ni heri upendwe kwani with time nawe unaweza ukajifunza kumpenda akupendae hala mkajikuta wote mnapendana

hapo nilipopakoleza hapo ndo sitaki hata kupasikia. ni risk sana manake ukishindwa kujifunza
unaua mtu hivihivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom