Je ni kweli

GILLO

Member
Oct 17, 2011
11
1
habari wanajf na hongereni kwa juhudi za kuelimishana,
kama miezi mitatu iliyopita nilikuta post huku jamaa moja akilalamika kuwa mpenzi wake ni wa baridi yaani wakianza ule mchezo hahisi joto lolote kutoka kwenye tamu, nikachukulia mzaa but katika zungumza zungumza na washaji mbalimbali akajitokeza mshakaji na kufunguka kuwa yeye alipatwa na mkasa kama huo pia demu moja naye amesema kuwa kaachwa na jamaa yake coz of dat,nilipowauliza mshaenda kwa doctor wote wamesema kuwa wanaogopa kueleza suala hilo kama ilivyo ada mficha uchi hazai nimefunguka humu ili mnijuze
 
Nimefungua tu hii thread nimeshindwa kuisoma maana nadhani rango uliotumia imechakachuliwa
 
Tuwasubiri waliyokutana hili jambo wafunguke hama ama madaktari wenyekujua suluhisho la hili watujuze
 
..dah bora mie sikuzaliwa mwanamke manake kila kitu wao tu, dada zangu mna kazi haya mjuzeni huyu ndugu kwa ninyi ambao mnajua tusi hili limewajia manake huwezi toa jibu sahihi kama hujawahi weka THERMOMETER kwa K..
N.B: Rangi nyekundu hutumiwa zaidi na wantu wa nguvu za giza kuweka sahihi za mikataba michafu, next time avoid hii kitu
 
Back
Top Bottom