naumia

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Habari member wa jf.natumai kwa uwezo wake mola tuwazima.nimejitokeza leo baada ya kupotea kwa muda mrefu sana kwa majukumu yaliyopo ktk dunia hii.......nina rafiki wa karibu ambae alizaa mtoto mmoja na kijana flan ambapo yule kijana hajaenda kujitokeza kwa binti yule.maisha yao ya mahusiano mwanzo yalikuwa mazuri sana ika kadil cku zilivyoenda ugomv ulikuwa hauishi.yule binti huku mtoto akiwa amemkabdh mamake amlelee yeye akiwa na shugul za kusaka maisha,aliamua kuachana na yule mwanaume.kumbuka kwamba mwanaume aliezaa nae hakuwah kuudumia yule mtt kwa madai kwmb alkuwa hana kazi na pia baada ya kupata kaz hali ilkuwa n ile ile.binti katka pilika za maisha alkutana na mkaka ambae walikuwa ni marafiki na walisaidiana kwa mengi km marafiki.yule mwanaume alie zaa nae akasikia kwamba yule binti anamwanaume,akaanza kusaka nr ya yule mwanaume na kumtukana sana,urafik wa yule dada na kijana ukapungua.na yule mwanaume akawa anaendelea kutuma mesej za vitisho kwa yule kijana.mpk sasa urafk wa bint umeisha;kilichotokea sasa wamejkuta kila mtu anammiss mwenzie,na kilichotokea n kwamba wamejikuta wanapendana ila kuambiana wanashndwa,hii n kutokana kijana anaogopa baba mtt BNT hawez kuanza kumwambia rafk huyo km anampenda..wanafanyiana tu akshen huyu akimkuta huyu anakasirika ukwel umebak kwny mioyo yao.binti anataka ushaur afanyeje ili awe na kijana anae mpenda na huyu baba mtoto ameshamwambia asimfatilie cz ameama kumuv on.tusaidiane jaman mana mapenz yanarun dunia
 
achukue restraining order polisi itakayoagiza huyo ex boyfriend aliyezaa naye asimbugudhi yeye wala huyo rafiki yake wa sasa - akiendelea na bugudha au vitisho amsweke lupango
 
Hajui sehemu ya kwenda akitishiwa,
awe huru kuwa na anayempenda,
 
Mmh dunia hadaa, mwambie awe strong! Amtangazie huyo baba mtoto ukweli wa moyo wake, then aendelee na huyo mwenye mapenzi naye sasa. Asisahau kumuomba Mungu amuongoze
 
afanye maamuzi ya busara kwa binafsi yake..huyo baba mtoto si ashamkataa sasa ya nn kumtisha kijana wa watu...
 
mwambie hiiiiii..."nahitaji pa kuegemeza moyo wangu lakini pasiwe na miiba na sehemu hiyo isiyokuwa na miba ni wewe" Atakupoke vizuri tu
 
Back
Top Bottom