Hata wewe yanaweza kukuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata wewe yanaweza kukuta

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by platozoom, Jan 29, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hivi juzi Nilikuwa napita mahali mara nikawaona wazee wawili wamesimama kimtindo kwenye kona ya nyumba (babu around 70s na bibi 60s) nikashikwa na udadisi nikabana karibu yao na kusikiliza maongezi yao:

  Babu; jana nilikuita lakini hukuja
  Bibi: mmh miguu ilikuwa inauma sana halafu wewe uwe usiwe unamtuma yule mjukuu wangu anaweza kujifunza tabia mbaya.
  Babu; sawa lakini ujue nakupenda sana,nashindwa kuvumilia.Sasa lile ombi langu vipi?
  Bibi; nilikwambia uwe mvumilivu nitakupa jibu
  Babu; Muda mrefu unanizungusha,leo nipe tu jibu la kueleweka umri unakwenda na nguvu zinapungua
  Bibi:Wewe hukumbuki nilipokuwa binti nilivyokuwa nakutukana ukiniiita?shukuru Mungu sasa hivi nakubali kuongea na wewe.Vumilia tu nitakupa jibu la kueleweka mvumilivu hula mbivu
  Babu; (Huku akilengwalengwa na machozi) sawa...kama nimesubiria zaidi ya miaka arobaini..nitajitahidi tu kuvumilia.

  Baada ya hapo ikabidi niondoke huku nikisononeka moyoni kwa namna babu alivyoppigwa tarehe,lakini pia nikajaribu kufanya comparison na namna kizazi chetu cha sasa kinavyotongoza......................!
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tazama signature yako lazima utakuja na thread kama hii.
   
 3. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwe!mwe!mwe!siku hizi uvumilivu unaexpire ndani ya masaa 24.
   
 4. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Babu asije akafa hajaonjeshwa tamu ya bibi!!!!!!!!!!
   
 5. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Barua ndefu kama hii ''mariam Bar''
  Dauda Dieng na Ramatoulaye
   
 6. T

  TUMY JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh wanasema mvumilivu hula mbivu ila hapo????????????????:yawn:
   
 7. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kaka unajua kutunga saf sana ila inaelimu kimtindo
   
 8. m

  makomimi Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :lol::lol::lol::lol::lol::lol:eek:ooh mbavu zanggu
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  haya bana kama ndivyo unavyoamini....but am really concerning with babu
   
Loading...