Tatizo: Jamani huyu mwanamke hataki kua na mimi bt ananing'ang'ania

Piazza jr

Member
Oct 30, 2011
70
3
Eti wana JF wenzangu nifanyeje mana kuna msichana mmoja nataka niwe nae bt ye anataka 2we friends nikimwambia siwezi kuwa friend na ww hataki kunielewa. Je nifanyeje jamani?
 
badilisha heading; inajicontradict!

Sasa cha ajabu nini, unataka muwe maadui?
 
Kama hataki si basi kwani yuko peke yake duniani? Usimlazimishe anakueleza kiungwana kua anamtu sasa Kama unajidai hushiki metre nenda akakumalizie senti zako halafu uje tena kulalamika..
 
Kama hataki si basi kwani yuko peke yake duniani? Usimlazimishe anakueleza kiungwana kua anamtu sasa Kama unajidai hushiki metre nenda akakumalizie senti zako halafu uje tena kulalamika..

nielewe vizuri ye hana m2 bt tatizo ananichoresha mbele ya friends zangu jinc anavyo act kama wapenzi
 
anakusaidia kuuza naye sura.

Nwy, hii huwa ni staili ya wadada kujiprotect na mavampaya ya mujini. Anajidai ni wapenzi wakati sio.
 
Hiyo kawaida yao...........we anza kupotea potea akumiss........kisha mwambie huwa hupatikani sababu unatafuta wa kukupa nafasi aliyoona kwake imejaaa. Ataumia huyo utaona mambo. Alafu ungefafanue kuwa ukiomda dudu anakunyima wakati wewe unataka dudu !!!! loh. Na akiwa na wewe anawaaminisha watu kuwa anakupa dudu kumbe dudu hupatagi. Theteheteheteheteheeee
 
Back
Top Bottom