Hivi ni kipi sahii; kusema ukweli au kusema uongo katika mausiano?

dijly4

Member
Sep 11, 2011
26
9
Hivi majuzi tu nilitoke kukutana na msichana mmoja ktk eneo langu la kazi, ktk kushare some ideas nikagundua huyu mdada alitokea kunipenda/kunitamani.

1day tukiwa duka la jirani na offiisini huyu mdada aliagiza nguo ya ndani toka pale dukani then akataka nimlipie, kwa kuwa niliona ni kama kuweka mahusiano yangu na mpenzi wangu pale atakapogundua nimefikia hatua ya kumnunulia nguo ya ndani msichana mwingine, basi kwa kulitambua hilo nikaamua kumpa ukweli yule mwanadada kuwa ktk urafiki wetu tusije tukavuka mipaka kani ninaye mpenzi na ninamueshimu sana.

Kwa kweli hii kauli ilimkera sana yule mdada kwani tokea pale hataki kuongea na mm hata salamu tu imekuwa ngumu, so ths gave me the bravery to conclude that, ''SOMETIMES TELLING THE WHOLE TRUTH MAY NOT BE AS IMPORTANT AS KEEPING CERTAIN SECRETS WELL HIDDEN"
 
Ni bora kuwa mkweli, no matter utamuuma kiasi gani. But it is the truth.

Hii inaepusha sana priblems in future hasa kwnye mahusiano.

Ukweli unauma but unakuweka huru kweli kweli

So nakupongeza sana kwa kuwa mkweli. Tatizo sisi wadada tunapenda sana kudanganywa.
 
But hii haiwezi kuwa ni chanzo cha kugombana na wafanyakazi wenzangu?
 
drama tuu ya huyo lady...asilete zake hapa. sasa hapo yeye ukweli uume kivipi kwani mlikuwa mwachachuana. alafu mbona wao wanatuchana live lakini wanaume tunajidai eti kuwapozea.
 
But hii haiwezi kuwa ni chanzo cha kugombana na wafanyakazi wenzangu?

Kugombana na wafanyakazi wenzako sbbu ya kumwambia ukweli mtu ambaye baadae angekuvurugia mahusiano mazuri uliyonayo na mpenzi wako? Hainiingii akilini.
 
"Ukweli unauma lakini uongo unaua".
Ungesema uongo kwanza iko siku angejua ukweli na kuua uhusiano wenu na pia kuua uhisano wako na mpenzi wako.
 
kugombana na wafanyakazi wenzako sbbu ya kumwambia ukweli mtu ambaye baadae angekuvurugia mahusiano mazuri uliyonayo na mpenzi wako? Hainiingii akilini.

si unajua tena wanadada walivyo, huenda pale offisini wakadhani kuwa nina maringo sana, kwani yule si wa kwanza unifanyia hivyo vitimbi
 
...kwenye mapenzi, tumia na uongo 'kidogo' maisha yaendelee...
 
Sawa sawa ulivyomwambia, loh mwanamke hushuhudi mbegu ya kike! au na wewe ulianza kumuangalia kwa style ya naingilika?
 
si unajua tena wanadada walivyo, huenda pale offisini wakadhani kuwa nina maringo sana, kwani yule si wa kwanza unifanyia hivyo vitimbi

Inaonekana we handsome ee, mademu wanajichanganya tu.

Hata ukigombana nao, sio waliokuajiri, and they are not only staff mate you have.

Km kazi inaenda, ATM inasoma kila mwezi na bado mpenzio unae mnapendana na kuheshiniana, na anakuliwaza baada ya kazi zako za ofisi.

Unataka nini tena?
Jaribu kijichanganya, utajuta.
 
Nyakati hizi wanawake wanaamini wakimtega mwanaume lazima aingie........wanaamini wanaume tu waroho sana kwenye hayo mambo,so kwake ilikuwa shock kubwa sana ulipomweleza hivyo.

Mahusiano ni muhimu sana eneo la kazi kwa sababu ni mahali ambapo unatumia karibia muda wako wote wa mchana...Pakinuka unaweza kukwazika sana. Lakini muhimu zaidi umekuwa na msimamo kwa hiyo your counsious is clear.

Lakini inaonyesha pia pengine unapiga story sana au unakuwa kaibu mno na mabinti ndio maana kila mmoja anahisi kuna kinachofuata baada ya hapo.Jitahidi kuweka distance kidogo kwa mahusiano yeyote kazini hasa ya kirafiki ili utakapoyapoteza usikwazike.
 
Kwanza kabisa nikupe salam, habari yako. Kwajinsi ninavyofaham kwa upeo wangu mimi siku hizi hakunaukweli, na kama unataka ukosemarafiki au uishi maisha ambayo sio jaribu kuwa musema kweli. we unge mnunulia tu kwani tatizo nini kumununulia rafikio wakike nguo ya ndani? Nahatakama angekutaka ufanyenaye ngono ungefanya tu hainashida. kwani huyo mpenzio mmeoana?
 
yani dah inaniuma sana kusikia we chakula kinakufata afu unakikataa. mimi hapa nilipo ninamke nina watoto pia ila kupiga nje ni kama kawa tena kwa roho safi. Yani ningekuwa mimi hiyo mali tungeipa kitu roho inapenda afu tukajikataa. kwani nini, hao ndo huwa wanachaneli kama mchumba angeshtukia unamwambia tu uleusemi wetu wakila siku kuwa shetani arikupitia basi. simple like that
 
Ungemlipia tu, then ukiona analeta ukaribu wa kimapenzi mjulishe kuwa una mtu,
 
yani dah inaniuma sana kusikia we chakula kinakufata afu unakikataa. mimi hapa nilipo ninamke nina watoto pia ila kupiga nje ni kama kawa tena kwa roho safi. Yani ningekuwa mimi hiyo mali tungeipa kitu roho inapenda afu tukajikataa. kwani nini, hao ndo huwa wanachaneli kama mchumba angeshtukia unamwambia tu uleusemi wetu wakila siku kuwa shetani arikupitia basi. simple like that
sio watu wote tuna uwezo wa kucheza mipira miwili kwa wakti mmoja, mmoja lazima utadondoka au yote miwili. asante kwa ushauri wako ila nikupe white and black kwangu haunifai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom