Hivi hili nitatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili nitatizo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by makomimi, Jan 29, 2012.

 1. m

  makomimi Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu nimeanza mahusiano sijawahi kabisa kupenda ila nasikia watu wanalalamika kuhusiana na mpenzi wengine wanafikia hatua ya kujiua kwasaabu ya mapenzi. Huwa najiuliza nikipi hasa kinamfanya mutu ajiue kwasaabu ya mapenzi? yani mpaka leo sijapata jibu. Sasa nina umri wa miaka 30 na mapenzi nimeanza nikiwa na umri wa miaka7, tangu kipindi hicho mpaka leo sijawahi kufeel love yaani kuwa special kwaajili ya mtu au kumfanya mtu kuwa special kwa ajili yangu. so nauliza hili ni tatizo au?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ni tatizo ndio.
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,128
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Kwanza hukuanza mapenzi una miaka saba sema ulianza ngono ukiwa na miaka 7.
  Kimsingi tatizo lako ni kubwa sana -(Kwamba unatembea bila kuwa na moyo) Yaani mpaka sasa nashangaa kwa muda wote huo umewezaje kuishi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Go straight kwa mtaalamu bingwa wa magonjwa ya akili.Sitanii
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Eish! kwani ana gonjwa la akili??!!
   
 5. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,296
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Uko sawa, endelea na maisha tu
   
 6. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,370
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280
  Baki hivyo hivyo n as mata of fact u shud b grateful.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,972
  Likes Received: 5,118
  Trophy Points: 280
  tatizo kubwa sana hilo!
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,128
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Kama unaweza kuwa na mahusiano ya ngono kwa miaka 23 na wasichana (yeye anaita mapenzi),halafu hujawahi pata hisia zozote za kumpenda japo mmojawapo (wengine mpenzi wa kwanza tu pasua kichwa) ni tatizo kubwa lainaloanzia kwenye ubongo.

  Ubongo unahitajika kuwa activated kwanza kabla ya counseling yeyote.Sitanii
   
 9. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pray to god that you have encountere love. The funniest feeling intilled in human instincts. Confusing, Electrifieng, ....... If you have not yet felt it, very soon you will run back to JF asking for advice. Goodluck.:hat:
   
 10. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Mshukuru mungu kwa hiilo coz unabahati ya mtende
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  U cant imagine, was criyng few hourz ago..mapenz yanaumiza jamani mweh.
   
Loading...