ndoa/mapenzi thru mitandao ya kijamii

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
jamani wapendwa. Hivi mapenzi au watu waliokutana katika mitandao ya kijamii na kufunga ndoa. Mapenzi yao huwa sawa na walio kutana misikitini au makanisani? Au ndo vululu valala kama style ya mitandao yenyewe. i
 
Usanii ni mwingi maana huyo mwenza wako uwezekano wa yeye kuwa na wenza wa kimtandao ni mkubwa sana.

Sasa hapo ni za wengine pamoja na kuchanganya na za kwako.
 
inategemea tuu na nia ya hao watu wawili...maana mie naona mtandao ni njia yakukutanisha na waatu sasa kama huyo mtu unakutana nae na unamchunguza wakati mnaanza mahuaiano sioni kama kuna tatizo...la msingi ni kwamba unakuwa mwangalifu kama in the real world
 
hahaha NN nimekusoma.

Wewe si unaona watu humu wanasema eti wako kwenye ndoa lakini kutwa kucha humu wanaitana majina ya kimahaba na wenza wao wa kimtandao....halafu ukiwauliza kama wenza wao wa kikweli wanajua kama wamo humu wanasema hawajui!

Sasa hapo ukiongeza na mambo ya multiple IDs ndo inakuwa vurugu mechi tupu.
 
jamani wapendwa. Hivi mapenzi au watu waliokutana katika mitandao ya kijamii na kufunga ndoa. Mapenzi yao huwa sawa na walio kutana misikitini au makanisani? Au ndo vululu valala kama style ya mitandao yenyewe. i

usanii mwingi, mitandaoni wengi wanaonesha tabia ambazo si zao. Wanaoonekana wazuri wengi huwa wabaya& vice versa. Kama umepata mchumba humu mnahitaji muda zaidi wa kufahamiana kabla hamjakimbilia kwenye ndoa.
 
mie nimekiibua kishefa mtandaoni kule hi5,ila kila nikiangalia profile yake imejaa wanawake,na kisha ana hits nyingi kny profile lake,nimeamua kumpiga chini kabla hatujawa serious,maanake kama alizoea kubrowse masaa manne kuangalia ptofile za wadada nini kitakachomzuia kufanya hivyo tukioana mmmnh
 
ndoa zenyewe za siku hizi hamjakutana huko mtandaoni lakini ni vululuvululu tu. sidhani kama kukutana mtandaoni kuna tofauti na walokutana kanisani au msikitini. Attitude zenu ndio zinaongea.
kuna mwingine kuchat kwenye mitandao na watu duniani ndio hobby yake. ukichunguza katika watu 10 anaochat nao labda kaonana na mmoja tu tena si kimahusiano ila urafiki wa kawaida. Mimi nikiwa mmojawapo.
 
Ni mojawapo ya njia ya kukutana. Nafikiri ni sisi tu waafrica ndio tunaona hii kitu ni kigeni mbona wazungu wanafanya and they live happily thereafter?

Ni shauri ya kutojiamini
 
Wewe si unaona watu humu wanasema eti wako kwenye ndoa lakini kutwa kucha humu wanaitana majina ya kimahaba na wenza wao wa kimtandao....halafu ukiwauliza kama wenza wao wa kikweli wanajua kama wamo humu wanasema hawajui!

Sasa hapo ukiongeza na mambo ya multiple IDs ndo inakuwa vurugu mechi tupu.
nn umenichekesha kweli.wengine pengine wanapunguza stress za ndoa humu.kwa upande wangu,mapenzi ya mitandaoni huwa siyaamini kabisa,nahisi kama utapeli tu,leo atanitongoza mimi,kesho atamtongoza mwengine
 
Watongozaji ni wale wale, utongozaji ni ule ule. Msanii wa mtandaoni hawezi kuwa malaika uraiani, wala malaika wa uraiani hawezi kuwa tapeli mtandaoni.

Udanganyifu na uadili kwenye maswala ya mahusiano yanapatikana kote kote.
 
whether mmeonana mtandaoni au uraiani, bottom line ni kwamba, at the end of the day, kila mtu anabeba msalaba wake mwenyewe...
 
mie nimekiibua kishefa mtandaoni kule hi5,ila kila nikiangalia profile yake imejaa wanawake,na kisha ana hits nyingi kny profile lake,nimeamua kumpiga chini kabla hatujawa serious,maanake kama alizoea kubrowse masaa manne kuangalia ptofile za wadada nini kitakachomzuia kufanya hivyo tukioana mmmnh

Hahahhhahha umenichekasha cna.
 
nn umenichekesha kweli.wengine pengine wanapunguza stress za ndoa humu.kwa upande wangu,mapenzi ya mitandaoni huwa siyaamini kabisa,nahisi kama utapeli tu,leo atanitongoza mimi,kesho atamtongoza mwengine

Inaweza ikawa yana usanii mwingi but occasionally things do go beyond the keyboards and monitors.
 
wanawake na wanaume wa mitandaoni ndio haohao wa mitaani, mitandao mara nyingi huwa sehemu ya kumeet na mwenza ni kama vile watu wengine ukutana club, market, college,church,njiani ,hospitalin n.k , kwa hiyo mapenzi kuwa imara au mazuri ayategemei wapi mlikutana bali ni wapenzi wenyewe.
 
mie nimekiibua kishefa mtandaoni kule hi5,ila kila nikiangalia profile yake imejaa wanawake,na kisha ana hits nyingi kny profile lake,nimeamua kumpiga chini kabla hatujawa serious,maanake kama alizoea kubrowse masaa manne kuangalia ptofile za wadada nini kitakachomzuia kufanya hivyo tukioana mmmnh
haswaaaaaaaa hapo umenena....
 
wanawake na wanaume wa mitandaoni ndio haohao wa mitaani, mitandao mara nyingi huwa sehemu ya kumeet na mwenza ni kama vile watu wengine ukutana club, market, college,church,njiani ,hospitalin n.k , kwa hiyo mapenzi kuwa imara au mazuri ayategemei wapi mlikutana bali ni wapenzi wenyewe.
ndo haya siku ya kuachana mnaanza kashfa"nini wewe si malaya tu,dem/men mwnyw nilikukuta club/Jf ushakuwa na wangap uliokutananao".....unabaki kmy mdm wa juu na wachini haukutan
 
jamani wapendwa. Hivi mapenzi au watu waliokutana katika mitandao ya kijamii na kufunga ndoa. Mapenzi yao huwa sawa na walio kutana misikitini au makanisani? Au ndo vululu valala kama style ya mitandao yenyewe. i

Hayo ndio majibu. Hakuna formula ya mapenzi, popote pale or kwa namna yoyote watu hu'fall in love!
 
jamani wapendwa. Hivi mapenzi au watu waliokutana katika mitandao ya kijamii na kufunga ndoa. Mapenzi yao huwa sawa na walio kutana misikitini au makanisani? Au ndo vululu valala kama style ya mitandao yenyewe. i
Kila kitu kina mazingira yake hivyo haziwezi kuwa sawa!
 
Back
Top Bottom