Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,807
- 59,289
Kila mmoja wetu anajua nini anachohitaji kwenye mahusiano na kinapokosekana ama kuwepo zaidi ya alichotaka anaweza akavunja mahusiano hayo.
Kuna watu wanaopenda kuwa na 'YES' kinda man/woman. . Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao watawachallenge. .Kuna wanaopenda kuwa na watu ambao ni far too generous and UNselfish. . Kuna wanaopenda wapole/wachangamfu/wenye uwezo wa kuwagombeza ba kuwarekebisha/wabaowaogopa and so on, na yakikosekana hayo wako radhi kuvunja mahusiano.
Kwahiyo sio ajabu kusikia mtu akisema "Niliachana na fulani kwasababu ni mpole kupitiliza, she/he was too quite, hana msimamo binafsi, mkali sana" n.k
Hizo hazina ubishi wala sidhani kama inaweza ikamfanya mwenzi wako mpya ajisikie vibaya ukimwambia kitu kama "my Ex was too violent" maana itamweleza kwamba yeye uko nae kwasababu anaweza kucontrol hasira na mkono wake. . .yani ana tofauti 'NZURI' na yule uliyemuacha.
Sasa je kumwambia current partner kua ulimwacha/achana na Ex kwasababu he/she was TOO GOOD FOR YOU kukoje?
Hiyo yaweza kumfanya mtu ajisikie vizuri kuwa na wewe?Au ni jambo la kawaida tu lisilohitaji kuangaliwa kiundani?