Dawa ya manzi ni manzi?

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Habarini wazee wa malavi davi.Excuse me,nimeamua kuandika manzi sababu ningeandika mwanamke isingevutia!
Hivi wakuu (men),mmeshawahi kuona mnaanza kupendwa na wanawake waliokuwa wanawaringia hapo awali kisa tu umeonekana una uhusiano na mwanamke mwenye kuvutia sana!???
Sasa hii kitu nimeona kwa asilimia kubwa ni dawa ya wanawake wanaonata sana!Dawa ya manzi mkali,mletee manzi mkali!!!Tena awaone mnacheka na kufurahi pamoja,kushney!Utasikia unaulizwa yule mdada mzuri umemtoa wapi jamani?Ujue YOU ARE IN THERE!
 
Iko pande zoote Baosita.... Unapompenda mwanaume ukajigonga kwake weeee ili akutongoze lakini akapotezea kana kwamba haelewi. Akikuta umeachia ngazi na kupata mwanaume wa maana kuliko yeye inamuuma na hata kukutongoza akijiuliza what he missed to see....
 
Yah,nlitaka mseme wenyewe na nyie kuhusu sisi wanaume.Inauma sana.Lakini dawa yako na mimi nakuvutia manzi wa ukweli zaidi yako inakuwa ngoma droo!
 
Yah,nlitaka mseme wenyewe na nyie kuhusu sisi wanaume.Inauma sana.Lakini dawa yako na mimi nakuvutia manzi wa ukweli zaidi yako inakuwa ngoma droo!

Hivi unadhani uzuri tu ndio wa matter? Umegundua kuna mabinti wengine sio hata wazuri lakini bado tatizo ni hilo hilo... Sometimes attitude pia ya matter... Unaweza kuta dada sio mzuri... lakini ana attitude ile ambayo hata dada mzuri kuliko yeye akikaa nae karibu dakika tano tu... anajiona hana maana na kua uncomfy kabisa! Siamini kama hilo ni suluhisho...
 
Hamna suluhissho hapo. Dawa ni kuchukulia easy tu.Akikutosa chukulia kawaida sana ( Ila kwa vidume vingi ni ngumu), akikulingia pia chukulia easy tu.Ipo siku utapata majibu tu lakini ukisema kisasi kwa kisasi utampa kichwa tu.
 
Iko pande zoote Baosita.... Unapompenda mwanaume ukajigonga kwake weeee ili akutongoze lakini akapotezea kana kwamba haelewi. Akikuta umeachia ngazi na kupata mwanaume wa maana kuliko yeye inamuuma na hata kukutongoza akijiuliza what he missed to see....

NI kweli,nilikuwa na Manzi akanizungua sana, baadaye akanina na Mzungu sasa ananitongoza mwenyewe
 
NI kweli,nilikuwa na Manzi akanizungua sana, baadaye akanina na Mzungu sasa ananitongoza mwenyewe
Hahahaha!Hapo hata kama awe na attitude,kwisha habari.Wabongo tunavyosujudu wazungu!!!
 
wanawake wazuri wanaringa koz they rare...and anything thata rare is precious not forgetting expensive....so acha makelele. tafuta mkwanja
 
Ukweli ni kwamba wasichana wengi wazuri wanaringa kwa sababu ni wanaume wengi huwa wanawatokea. Hata hivyo mwisho wa siku huwa wanabakia madungaembe/hawaolewi/hawaoleki (wife immaterial) kwa sababu wanaume wanaogopa kwa sababu wanakuwa cha wengi (so wanaume wanakwepa stress za kuchukuliwa wake zao kirahis). HIVYO KWA KWELI WANAWAKE/MABINT WAZURI NA WANAOJIJUA KWAMBA NI WAZURI HASWA NI WACHACHE SANA AMBAO NI WIFE MATERIAL... VERY RARE.

When a man ask a woman for marriage and truly mean it; you should now know that you are the right partner for him.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom