...Watu wa mahaba....

Unaacha kunywa bia unawaza tuu mapenzi, muone kwanza, sura mbaya ndio maana unatendwa tendwa.....
 
Love should come naturally..if we quit pretending to feel what we dont, be what we aren't, then definatly mapenzi hayatakuwa magumu..
 
..... kwa wa africa..... bado sana.....
go on with politics....
 
....mapenzi ya kileo magumu saanaaa...

balaa zipi tena umekutana nazo? Fafanua...........love is a gift from God................let us enjoy it...........usichanganye mapenzi na ngono............lol
 
balaa zipi tena umekutana nazo? Fafanua...........love is a gift from God................let us enjoy it...........usichanganye mapenzi na ngono............lol

....nashuhudia mambo ya ajabu sana huku mtaani....

.....kusalitiana saivi inakua kama kawaida.... Watu hawaoni hatari....
 
Back
Top Bottom