Nivaeje baada ya kuolewa?

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Juzi tulikuwa sehemu na mada hii ikaibuka! Vipi mwanamke aliyeolewa avae vipi? Huyu dada aliyepekea hoja ianze ni mnene asiye na upungufu wa nyama mwilini! Bantu haswa! Lakini kavaa 'skini taiti', kishati kidogo kiloacha sehemu ya kifua chake kikubwa nje. Mguuni kipo kikuku! Mkononi ana pete ya ndoa ilobebana na ya engagement kuonesha ni mke wa mtu! Mke wa mtu, utokeje?
 
Ni wakati wakujistiri vizuri ukishaolewa, uvae nguo ndefu kupita magoti yako, usiache maeneo tamanishi ya mwili wako yakiwa wazi,

NB: jua kuwa wewe ni mke wa mtu,
1. Jitunze
2. Jithamini
3. Jiheshimu nawe utaheshimika...
 
Ni kuacha kuiga tamaduni ambazo sio zako. Vaa chochote kinachoendana na utamaduni wa huko ulikoolewa kwa maana kwamba tamaduni zinatofautiana kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mfano utamaduni wa Mwafrika kuhusu mke wa mtu ni tofauti na Amerika, Ulaya, Asia n.k. Tatizo linalotokea na pale mtu wa Bara lingine anapoiga utamaduni wa bara lingine kwa kuvaa bila kuzingatia mazingira anayoenda na aina hiyo ya vazi. Kuvaa kunategemeana na matukio, kama unatoka na mume wako kwenda beach na mko kwenye usafiri wenu, si mbaya ukavaa ile mini ambayo kama ukithubutu kuinama, chakala kinakuwa nje. Lakini kama mnaenda arusini tena kuanzia kanisani vaa kama Mmama, maana huko utakutana na watu wa rika tofauti tofauti.
 
Juzi tulikuwa sehemu na mada hii ikaibuka! Vipi mwanamke aliyeolewa avae vipi? Huyu dada aliyepekea hoja ianze ni mnene asiye na upungufu wa nyama mwilini! Bantu haswa! Lakini kavaa 'skini taiti', kishati kidogo kiloacha sehemu ya kifua chake kikubwa nje. Mguuni kipo kikuku! Mkononi ana pete ya ndoa ilobebana na ya engagement kuonesha ni mke wa mtu! Mke wa mtu, utokeje?

Mavazi ya mke anakubaliana na mme wake.
 
Tabia haina dawa! kama kakulia kwenye malezi ya vitopu na vikuku kuacha ni kazi thou anaweza akawa anajiheshimu na anatabia nzuri tuu.
 
angalia umbo lako kwanza kabla ya kuvaaa, vaa nguo itakayoendana na umbo la mwili wako, na itakayo kustiri mwili wako.
 
Vaa vile mumeo anapenda. Hata ukiambiwa, "from now on ni baibui mtoto wa kike" inabidi ufuate masharti, usiwe mbishi kwa mumeo.
 
wana JF mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili la maana na wanaushauri, ila tatizo la nililo nalo, ni kuwa topic hii imenigusa kwani tatizo kubwa na mpasuko mara kwa mara mimi na mke wangu wa ndoa ni hili la yeye kuvaa kitop na kikuku, na vimini....
 
Vaa vile mumeo anapenda. Hata ukiambiwa, "from now on ni baibui mtoto wa kike" inabidi ufuate masharti, usiwe mbishi kwa mumeo.

Nakubaliana na wewe, Mwanandoa anapaswa kuvaa vile mumewe anavyotaka. Pia akumbuke kujiheshimu na kuwaheshimu wengine pia ili kuondoa unnecessary misunderstanding.
 
wana JF mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili la maana na wanaushauri, ila tatizo la nililo nalo, ni kuwa topic hii imenigusa kwani tatizo kubwa na mpasuko mara kwa mara mimi na mke wangu wa ndoa ni hili la yeye kuvaa kitop na kikuku, na vimini....
Women should always be attractive...that's nature..Dress Sexy and maintain decency... uusikomae kuvaa nguo za binti yako kana kwamba ni zako...
 
Acha vile vi-top vyako vya kitovuni,vimini, vim'pasuo vya mapajani,vi-blouse vinavyoonyesha maziwa,vim'bato vyako vinavyo-onyesha mpaka uvimbe wa uchi wako nk.Inshort vaa ngua zinazositiri mwili wako.Hatimaye mvae Yesu.
 
vaa jinsi, t-shirts,bikini,skets mchana ucku unalala bila nguo hata moja ili iwe rahisi kwa mumeo kushika shika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom