machumba/mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

machumba/mke

Discussion in 'Love Connect' started by frangerry, Mar 9, 2012.

 1. f

  frangerry Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  salaam,

  nahitaji mchumba/mke

  anayejiheshimu/muaminifu

  mpenda maendeleo.

  we can opt for ndoa ya serikali if islam

  mmi ni mkristo safi, 30 years,umri wake uzingatie hili  frangerry1@gmail.com
   
 2. f

  frangerry Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serious
   
 3. salito

  salito JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  umekosa pa kumtafuta mpaka umeona uje humu mkuu??
   
 4. f

  frangerry Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  naamini sijakosea kwa kuweka hii taarifa kwenye eneo ili,vinginevyo kama kuna sheria imevunjwa nijulishwe,mimi nimeamua nimtafute anayenifaa hapa mkuu
   
 5. K

  Kikombe kinafurika Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni lazima awe na thirty yrs?
   
Loading...