Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Mar 10, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ebana,kuna mtoto nimempata hapa chuo,ye kwao ni hapa hapa dsm,sa kanambia ka nataka kumbanjua bac nitafute sehemu ambayo iko nje kdogo ya mji,so wakuu mnaoijua dar vzr, ebu nipeni mwongozo,ni sehemu gani hapa dar ambayo iko chimbo zuri na gharama zake zisizidi buku 20 kwa usiku mmoja?over
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mpeleke mabwepande kule kumetulia sana
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  chimbo kubwa hapa dar ni kule wanapochimba kokoto pale kunduchi.
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  kweli boom limetema yaani unataka nje ya dar es salaam ulipe buku 20? wewe mfanyakazi au mwanafunzi? mpeleke kibamba mkuu au mile moja. kule chumba cha elfu 10 kina hadi a/c. zipo sehemu kibao tu wewe ukifika utajua hukohuko naamin wewe ni mwanaume.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  aende mbali anasaka almasi??
  Apige exile hapo bibo hostel kabisa.

   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  tatzo gash hataki kuckia hilo suala,ye anang'ng'ania nje ya mji tu.
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Pale pale nyuma ya chuo kuna kimsitu!
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu,tunashare cost bana,ucogope!
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  msituni kwani tunaenda kuwinda ndege mkuu?
   
 10. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  atakua jini uyo anataka kukunyonya damu,ukienda nje ya mji imekula kwako hurudi tena anza kuaaga kabisa
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  La Paloma guest house, karibu na Meeda bar.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kaka pale wamepandisha hadi 20,000/-labda aende kule karibu na BLUE BIRD... kuna tu~GUEST twa 15,000/- au aende Guest za Chanika 5000/-
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kitu tent
  kisikie tu
  lote linayumba
  kama kuna jirani lazima akeshe nje

   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  iko mitaa gan hyo mkuu?
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  duuh!!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Aiseee...kumbe wamepandisha!! Si habari njema kabisa hizo.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  njoo machi machi, ntakupunguzia bei
  ila utaje jina lako la jf

   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ila pale jirani kuna CHIMBO linaitwa BLUE ROSE... Lami mpaka Mlangoni...
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mbavu zangu jamani zinavunjika, kitu cha namna ile huchelewi kuona miguu imetokezea nje
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  basi kama mnachangia garama pelekaneni DEFRANCE Sinza. Ukitaka kula nguruwe chagua aliye nona bana. Huyo demu atakuwa ana mabwana wengi dar anaogopa asigongane nao. au anahofia unaweza kumpiga sangi sababu wanafunzi hamna dogo. toka nae jioni jioni mwende pale defrance mule maraha. Mi ningemwambia tutoe gundu kwanza halafu tukishatulia ndo twende nje ya dar. Ukimfikisha pale ataeleweka tu.
   
Loading...