Habari ndio hiyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari ndio hiyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jonogomero, Mar 17, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja unguja kukutana na mkewe, alipofika airport akamuona msichana mrembo sana akamshawishi na akalala nae kimapenzi, alipofika nyumbani ili amuone mke wake akamkuta yule msichana alielala nae kimapenzi ndio mke wenyewe,
  Jee! kijana wa london alizini au alifanya mapenzi na mkewe? tafadhali nijibu muhim sanna na ungekuwa ww ungefanyaje..!
   
 2. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Wamekutana wote vicheche hakuna lawama maisha yaendelee..
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wote walizini
   
 4. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  AL HADITH-mzinifu ataolewa na mzinifu mwenzie
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Allahu ya allam! Isipokuwa hiyo ndowa ni kufu kabisa! Kama mapenzi basi wote love at first sight, Kama ucheche basi wote wakali ,waendelee tu!
   
Loading...