Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mitishamba, Mar 15, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja.
  Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu.
  Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote njenje.
  Ukikaa sasa ndo balaa...unatupiga picha abiria wenzio hadi tunapitilizwa vituo bila kujijua...maana safari inakuwa fupi mno.

  Sasa pale uliposimama unahangaika kukirudisha kile kitopu chini...kila ukikirudisha kinapanda..unakirudisha kinapanda.

  Na kimini nacho hivyo hivyo...unang'ang'ana kukivuta chini...hivi unadhani kitaongezeka!? Kwa nini usingenunua cha size hiyo unayotaka..yaani unapokivuta si unataka kifikie sehemu fulani..! Sidhani kama ulikosa nguo ya size hiyo unayoitamani wakati huu unapohangaika kuivutavuta.

  Badilikeni bhana..! Vinginevyo tuachie tu hiyo senema.
   
 2. edcv

  edcv Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  stuggle for attention ina haribu maisha ya dada zetu hivihivi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Biashara matangazo!!
   
 4. i

  ilembula New Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mitishamba hiyo ni geresha anataka uone kuwa hajapenda kuvaa hivyo (Kitop na Kimin). Sasa mwambie ainame kuchukua simu iliyodondoka chini utaona anavyohangaika.Biashara zingine hujiuza zenyewe ila zingine sharti uzitembeze.
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Ni kujidhalilisha tu utakuta akitaniwa na boys anajifanya anakasirika kumbe hajiheshimu.wanawake tubadilike mbona tukijistir tunapendeza tu
   
 6. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  fashion zinaponza
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ukahaba una tabu zake!!
   
 8. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli
   
 9. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanamke ni mtu mzima,kwanini udhani kwamba una haki ya kumpangia cha kufanya au kuvaa,jamii ya Kiafrika ina penda sana kucontrol wanawake inaboa kiukweli.
   
 10. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mfano mzuri kbs ni clip na some picha za wema na diamond alipopanda stejin moro ...ilikuwa ni aibuu takoz nje..huku anajidai kushusha shusha.....ni upuuz wa wengi huo
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo mi nikivaa nguo fupi tu ni kahaba?
   
 12. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  %99.9 ndiyo.
   
 13. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mavazi ni kielelezo tosha cha tabia za mtu.kama unajiheshim huwezi kuvaa nusu uchi unless ukahaba
   
 14. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini kama ukahaba si wangu,mtu mwingine inamuhusu nini?
   
 15. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe sio potential customer au targeted market kwa hyo ndio maana anahangaika kuficha bidhaa lakini akiwa na kundi analolitaka yeye wala hajigusi ndo kwanza atakunja kiunoni iwe fupi,sawa mkuu kwa hyo ukiona anaficha mwambie nimekuelewa halafu geuza macho angalia wengine,
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Fumbeni macho.
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mwanamke kimin babu,hasa ukiwa na ngozi nyororo huku umepiga heelz za kufa mtu, ila kimin raha yake uwe kwenye gari yako sio umeshika mkuki wa daladala inakua noma.
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hata mimi huwa najiuliza kwanini wanavaa vile, siwatembee tu uchi.
   
 19. D

  DOMA JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ukahaba 100%
   
 20. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mtajuaje kilichoko nyuma ya pazia bila kulifunuaaa
   
Loading...