Nitakuwa nimekosea??

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Nina kabinti kangu kapo darasa la sita mapepe kweli, naogopa wahuni wasije wakakatundika mimba nataka nikaweke vijiti vya uzazi wa mpango ili wahuni wasikakatishe masomo na kuniletea mimi balaa la kutunza mjukuu. Je hili wazo la kumweka binti yangu vijiti vya uzazi wa mpango nitakuwa nimekosea? Naombeni ushauri jamani.
 
Kama mmeshamcheza unyago, mwekee tu
Ila mkumbushe na kujikinga na UKIMWI, Herpatitis B na mengine.

Pole, kumuona binti yako wa darasa la 6 anamegwa, nahisi ntazimia.
 
Kama mmeshamcheza unyago, mwekee tu
Ila mkumbushe na kujikinga na UKIMWI, Herpatitis B na mengine.

Pole, kumuona binti yako wa darasa la 6 anamegwa, nahisi ntazimia.

Na uhakika shuleni wanafundishwa mpaka jinsi ya kuvaa pedi ila hili la mimba hili linaniumiza kichwa sana
 
Ama kweli
nicheke tu mm
sawa, mimba hatapata
mengine je ambayo yanaweza kusababisha kifo
hapo inakuaje? ukimweka vijiti
mfundishe na ngono salama.
 
Ama kweli
nicheke tu mm
sawa, mimba hatapata
mengine je ambayo yanaweza kusababisha kifo
hapo inakuaje? ukimweka vijiti
mfundishe na ngono salama.

Kiuhalisia hujui watu wanaogopa mimba kuliko kifo?
 
Jf ina mambo!
Sasa hayo madhara ya vijiti vya uzazi wa mpango, si utamtia utasa mwanao ukose kuitwa grandpa? Mweh!
 
Pole kwa kuumizwa na hayo mawazo. Mpe elimu ya kutosha ya uzazi wa mpango, mfundishe maadili mema na zaidi sana fanya kila uwezalo mwanao awe na hofu ya Mungu. Mwisho muombee tu kwa Mungu, atamuepushia.
 
Mweleze madhara yote ambayo yanatokana na kuanza ngono katika umri mdogo then umwambie pia aache mapepe..
 
Nina kabinti kangu kapo darasa la sita mapepe kweli, naogopa wahuni wasije wakakatundika mimba nataka nikaweke vijiti vya uzazi wa mpango ili wahuni wasikakatishe masomo na kuniletea mimi balaa la kutunza mjukuu. Je hili wazo la kumweka binti yangu vijiti vya uzazi wa mpango nitakuwa nimekosea? Naombeni ushauri jamani.
vijiti huwekwa kwa ridhaa yake, huwezi kumlazimisha, labda kama wewe mwenyewe ni mtaalamu, lakini daktari mwenye akili atakutimua
 
Back
Top Bottom