Wanawake, wakina dada kwa nini mkiolewa mnakuwa na roho mbaya hasa kwa ndugu wa mumeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake, wakina dada kwa nini mkiolewa mnakuwa na roho mbaya hasa kwa ndugu wa mumeo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dadio, Mar 17, 2012.

 1. Dadio

  Dadio JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama umeolewa na ni mwana jf, tueleze kwa umakini kwa niniwengi wenu mnabadilika mara baada ya kuolewa na kuwachukia ndugu hasa pande za waume wenu? Na sema wakina mama nikiwa na mifano hai hasa kwa watu wa karibu yangu. Inafikia hata kumnyima chakula ndugu wa mumeo? Kwa kisingizio chakula hamna wakat kipo? Mnanikera sana. Kama wewe ni mwanamke tuambie. Mmeniuzi sana.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  haya mambo ya ndugu wa mume na mke ni two way.....

  Kuna wake wengine visa kuna wakwe wengine balaa......
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,464
  Likes Received: 28,339
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kati ya wanawake na akina dada?
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hayanihusu kama rah P.....Nakuja zaidi ya sister P!!!
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,967
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mmeniuzi=Mumeniudhi.
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  As long as you don't enterfere into woman's kingdom, YOU'RE SAFE.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  ndugu wa mume wanakuwaga na vimbele front.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kuna ndugu wa mume wanakuwaga na vimbelembele na kuna mke anakuwa na roho mbaya, INATEGEMEA
   
 9. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Utapata majibu mazuri toka kwa Nduka original; anauzoefu mzuri kuhusu wanawake!
   
 10. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hasty generalization!
   
Loading...